TANZIA Mkurugenzi Mtendaji wa Tanesco, Gissima Nyamo-Hanga na dereva wake wafariki dunia

Mhandisi Nyamohanga Gissima Mkurugenzi wa TANESCO na Dereva Wake Wafariki dunia ambaye jina lake sijalipata wamefariki Dunia kwenye Ajali liyyotokea saa nane Usiku wakiwa njiani kuelekea Msoma. Walikuwa wanakaribia Serengeti

Wapumzike kwa amani

Stay Tuned

====

MY TAKE

Tanzania tumemkosea nini Mungu? Kwanini tukipata Mchapakazi hadumu kwenye Uongozi anafariki Dunia? Inabidi tuliombee Taifa. Nampongeza Nyamohanga kwa kulitendea haki taifa. Alijuwa mchapakazi na mwenye IQ kubwa pia ameachia Vitu vingi na kafanya vitu vingi TANESCO sio Kama yule Maharage na Kampani yake.
View attachment 3302563View attachment 3302564View attachment 3302565View attachment 3302566View attachment 3302567
Daaah asee ni ajali mbaya sana hii...

Mungu ampumzishe kwa amani ndugu yetu.
 
Mhandisi Nyamohanga Gissima Mkurugenzi wa TANESCO na Dereva Wake Wafariki dunia ambaye jina lake sijalipata wamefariki Dunia kwenye Ajali liyyotokea saa nane Usiku wakiwa njiani kuelekea Msoma. Walikuwa wanakaribia Serengeti

Wapumzike kwa amani

Stay Tuned

====

MY TAKE

Tanzania tumemkosea nini Mungu? Kwanini tukipata Mchapakazi hadumu kwenye Uongozi anafariki Dunia? Inabidi tuliombee Taifa. Nampongeza Nyamohanga kwa kulitendea haki taifa. Alijuwa mchapakazi na mwenye IQ kubwa pia ameachia Vitu vingi na kafanya vitu vingi TANESCO sio Kama yule Maharage na Kampani yake.
View attachment 3302563View attachment 3302564View attachment 3302565View attachment 3302566View attachment 3302567
Makiwa kwa wafiwa
 
Sidhani kama mnatenda haki mkisema hivyo. Watu wasio wakurugenzi ndiyo wenye haki ya kusafiri kwa magari na kupata ajali? Jambo la msingi ni kudai barabara zetu zijengwe kwa viwango na madereva na magari yawe ya viwango.
Yani halipwe Mshahara million 30 bado posho za vikao kila siku alafu asafiri kwa gari toka dar mpaka msoma sasa hzo ndege atazipanda nani?
 
Back
Top Bottom