TANZIA Mkurugenzi Mtendaji wa Tanesco, Gissima Nyamo-Hanga na dereva wake wafariki dunia

TANZIA Mkurugenzi Mtendaji wa Tanesco, Gissima Nyamo-Hanga na dereva wake wafariki dunia

Wamekutana na Kicheche cha kufuga hicho... Sio pori... Na walikuwa speed ya buku...

Kwani dereva wa Boss si huwa anajulikana tu... Mbona imekuwa ngumu kumtambua hapa... Au ilikuwa sio safari ya kikazi.!?
 
Haya Mavieite hayatufai wajameni !
Mtu akiwa humo ndani anajihisi kama vile yupo Angani !
Matokea yake hamad Uso kwa Uso !
Yatamaliza watu !
LandCruiser hardtops ndio muarobaini 🙏
 
Ajali haina kinga (Lame African way)

Lakini ni risk zaidi kusafiri usiku tukizingatia miundombinu ya barabara zetu.

Kwa wafanya kazi mahali fulani fulani mtuambie ni kwanini moja ya policy ya safari mwisho wa kusafiri kwa barabara ni saa kumi na mbili jioni? Jioni muwe mmeshareach destination fulani ambako mtapata malazi…

RIP mkurugenzi.
 
Mhandisi Nyamohanga Gissima Mkurugenzi wa TANESCO na Dereva Wake Wafariki dunia ambaye jina lake sijalipata wamefariki Dunia kwenye Ajali liyyotokea saa nane Usiku wakiwa njiani kuelekea Msoma. Walikuwa wanakaribia Serengeti

Wapumzike kwa amani

Stay Tuned

====

MY TAKE

Tanzania tumemkosea nini Mungu? Kwanini tukipata Mchapakazi hadumu kwenye Uongozi anafariki Dunia? Inabidi tuliombee Taifa. Nampongeza Nyamohanga kwa kulitendea haki taifa. Alijuwa mchapakazi na mwenye IQ kubwa pia ameachia Vitu vingi na kafanya vitu vingi TANESCO sio Kama yule Maharage na Kampani yake. Nahisi kuna mkono wa mtu
View attachment 3302563View attachment 3302564View attachment 3302565View attachment 3302566View attachment 3302567
Ajali ilikua mbaya sana. Apumzike kwa amani ya bwana.
 
KINachofanya watu wasafiri/wasisafiri kwa magari/ndege siyo ukosefu wa fedha tu. Inawezekana alikuwa na mambo muhimu ya kufanya njiani kama kutembelea ndugu, kikazi etc. Au alitaka tu kujionea hali ya nchi ilivyo ili kupata picture halisi. Mambo ni mengi ila nadhani wewe umeamua kujitoa ufahamu.. Na zaidi nadhani ni umaskini unaokufanya kusema hivi kwa sababu huwezi kuruka na ndege muda wote, sometimes utataka kuangalia nchi yako na watu wake.
Nchi inatakiwa iwe na reli, safari ndefu kama hizo watu wasafiri kwa treni, ila bado ni jambo la ajabu kwa CEO wa TANESCO kusafiri umbali mrefu hivyo kwa gari.
 
According na takwimu zilizopoa, ubovu wa miundo mbinu unachangai cchini ya 2% za ajali TZ na zaidi ya 95% ni makosa ya binadamu ikiwemo spidi kubwa
Takwimu za uongo hizo,
 
Back
Top Bottom