ndammu
JF-Expert Member
- Apr 21, 2017
- 5,424
- 6,327
Ndio hivyo nilivyosema ingekuwa afadhali kidogo.Mkuu unataka kusemaje..?
Ndio hivyo nilivyosema ingekuwa afadhali kidogo.Mkuu unataka kusemaje..?
Nchi yao sheria hazi wahusu. Kama wana haraka wapande ndege. Lasivyo israel mtoa roho atawawahisha tuMaisha haya!!!
Ukiuliza:
Kwanini madereva wa serikali wanakimbiza sana magari utaambiwa boss alikuwa na haraka
Kwanini wanaasafiri usiku wa manane utaambiwa kuna utulivu na njia ni salama sana
Kwanini wananunua magari ya Mil 600 watakuambia ni salama sana na ngumu kupata ajali
Imagine kishindo cha kuhamisha na kutenganisha gari kubwa na tela yake na hata kuzibua vizibo vya tank la mafuta speed ilikuwa ngapi kama siyo Km 160+ PH
Daresalama pekee imeshindikana kuweka hizo dabo rodi barabara zote iwezekane vipi Nchi Nzima ?!Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Umeme TANZANIA yaani TANESCO , Mhandisi Gissima Nyamuhanga Jana Usiku alipata Ajali ya Gari na kufariki hapo hapo, akiwa anatokea mikoa ya Kanda Ya Ziwa. pia Dereva wake naye amefariki,
Hizi ajali Tanzania zimekuwa zikimaliza watu, kwakweli sijui tufanye kitu Gani, naomba serikali iweke nguvu kutengeneza double road Barabara zote zinazounga mikoa na wilaya kama ilivyo nchini china au ulaya
R.I.P Gissima
Unataka/unamwomba Mungu afanye yake tena..?Ndio hivyo nilivyosema ingekuwa afadhali kidogo.
Was kigogo wa serikalini necessary?R.I.P kigogo wa Serikali pamoja m Dereva wako.
Ajali ilimlaza ndugu yangu mwaka Jana nae alikuwa kigogo wa Serikali,so painful
Kwa kweliRIP mkurugenzi. Mojawapo ya makosa ya madereva wa Serikali, ni kudhani kuwa, wakishawasha vile vitaa na vimulimuli inatosha inatosha kumanouvre bila kujali watumiaji wengine. Na kwamba mwendokasi wao watapishwa na kila mtu. RIP dereva
Hakuna Mungu anayehusika na ajali.Tanzania tumemkosea nini Mungu?
Kinachotokea hapo ni kuvunja protocal...Siku moja tulikuwa wanne tu , tunataka Dar kuelekea Mwanza ...kwanza tulipanga safari tutoke 12 kamili asubuhi ila tuliondoka 3 kasoro Asubuhi ,watu wanajivuta na dereva alifika mapema.Ajali haina kinga (Lame African way)
Lakini ni risk zaidi kusafiri usiku tukizingatia miundombinu ya barabara zetu.
Kwa wafanya kazi mahali fulani fulani mtuambie ni kwanini moja ya policy ya safari mwisho wa kusafiri kwa barabara ni saa kumi na mbili jioni? Jioni muwe mmeshareach destination fulani ambako mtapata malazi…
RIP mkurugenzi.
What are you trying to put it ?! 😳 !Do u think is the first time such issue happen? Do u know Salvatory Mosha the brain behind Tanesco 🤔
The colour is really God have mercy on usMhandisi Nyamohanga Gissima Mkurugenzi wa TANESCO na Dereva Wake Wafariki dunia ambaye jina lake sijalipata wamefariki Dunia kwenye Ajali liyyotokea saa nane Usiku wakiwa njiani kuelekea Msoma. Walikuwa wanakaribia Serengeti
Wapumzike kwa amani
Stay Tuned
====
MY TAKE
Tanzania tumemkosea nini Mungu? Kwanini tukipata Mchapakazi hadumu kwenye Uongozi anafariki Dunia? Inabidi tuliombee Taifa. Nampongeza Nyamohanga kwa kulitendea haki taifa. Alijuwa mchapakazi na mwenye IQ kubwa pia ameachia Vitu vingi na kafanya vitu vingi TANESCO sio Kama yule Maharage na Kampani yake. Nahisi kuna mkono wa mtu
View attachment 3302563View attachment 3302564View attachment 3302565View attachment 3302566View attachment 3302567
Kwa hivyo mkuu tunapaswa kuitaja vipi.Unajua unachosema. Stupid unaitaja kama unataja maembe. Fu£k you
Atumie akili fikirishi. Sio apangie watu naoni yakutoaKwa hivyo mkuu tunapaswa kuitaja vipi.
Nimeomba hukuona huko? Au ni mpaka uone neno halisi?Unataka/unamwomba Mungu afanye yake tena..?
Kama hujui kingereza lazima nikufundishe kwa kuweka an , sasa kingereza chenyewe hujui alafu nikurekebishe kwa kingereza cha mtaani utaelewa lini?Umenikumbusha mambo ya vowels advance,ukiona mtu anatumia an kabla ya vowels ujue hajakutana na kiingereza mtaani ila kakutana nacho darasani hahah
Sawa mkuu. Atatenda kwa wakati wakeNimeomba hukuona huko? Au ni mpaka uone neno halisi?