TANZIA Mkurugenzi Mtendaji wa Tanesco, Gissima Nyamo-Hanga na dereva wake wafariki dunia

TANZIA Mkurugenzi Mtendaji wa Tanesco, Gissima Nyamo-Hanga na dereva wake wafariki dunia

Haya Mavieite hayatufai wajameni !
Mtu akiwa humo ndani anajihisi kama vile yupo Angani !
Matokea yake hamad Uso kwa Uso !
Yatamaliza watu !
LandCruiser hardtops ndio muarobaini 🙏
Hivi kazi ya yale ma Airbag huwa nini hasa kwenye ma V8? Sababu ukiangalia wapoonyesha crash testing kuyatangaza unajua hata ukiwa spidi 200 ukagonga treni lazima utoke salama
 
Apumzike kwa amani Nyamohanga, Bwana ametoa Bwana akatoa jina lake lihimidiwe.
Madereva wakisha yasikia maneno hayo ya Bwana ametoa na kutwaa huwa wanakanyaga mafuta magari yao kweli kweli maana wanajua aliyetoa akitaka kutwaa anatwaa tu 😳 !
Hawajishughulishi na kuchukua tahadhari kabisa !
Watatumaliza Kwakweli na Mavieite yetu 😳 !
 
Mungu ampe pumziko la milele na faraja wale wote walioguswa na msiba huu.

Kama Taifa nadhani kuna shida mahali. Haiwezekani viongozi wanafariki kiholela na hakuna hatua zinachukuliwa. Hii ni aibu kwa nchi
 
Mkurugenzi wa Tanesco anasafiri umbali wote kutoka dar mpaka Msoma kwa gari kwani ndege hazikuwepo?
Inashangaza sana na ukiangalia kwa umbali huo kutumia ndege na kutumia gari, ... kutumia gari ni gharama na hatari kuliko kutumia ndege
 
Ningependa kujua kauli yoyote ya wazi aliyotoa mkurugenzi dhidi ya Lissu, if any.
 
Hivi kazi ya yale ma Airbag huwa nini hasa kwenye ma V8? Sababu ukiangalia wapoonyesha crash testing kuyatangaza unajua hata ukiwa spidi 200 ukagonga treni lazima utoke salama
Yale maairbag ndio kwanza linakupiga unakuwa unconscious kwa hofu then yale makaratasi yanayofanana na bati gumu ndio yanamalizia kutusafirisha moja kwa moja !

Wanaelezwa kila siku Supidi Kills hawataki kuelewa. !
Na hii yote inasababishwa na ile luxurious iliyopo humo ndani ya ndinga inayowafanya waliomo humo kudhani wapo Angani wanaelea elea tu kwenye mawingu 😳 !

Matokeo yake vilio na Hasara !
 
Kafa kwenye ZX J300 ya 2024. Kufa kufaana kuna watu wawili wanapanda vyeo hapo. Mkurugenzi mpya na dereva.
 
Back
Top Bottom