ndolelejiUduhe
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 4,381
- 4,588
Pole sana 🙏Usinichekeshe msibani!
Imeniuma kama nawafahamu wafiwa!
Pole sana 🙏Usinichekeshe msibani!
Imeniuma kama nawafahamu wafiwa!
Ilikuwa ipate ajali ya kiongozi wa juu kabisa.
Mkuu kwa gari ya Aina hiyo, umbali wa safari na majukumu ya anayeendeshwa ni hasara Sana kutembea mwendo mdogo.Kwa vyovyote vile ajali hii mwendo kasi umechangia kuwa kubwa kiasi hiko!
Siku zote kawia ufike, sijui kwanini hatuzingatii sana misemo hii.
Wajaliwe Rehema za mwenyezi Mungu , pole nyingi sana kwa familia zao na tanesco na taifa kwa ujumla
Kifo kinaondoka na yeyote, hakichagui wakwenda naeNdio hivyo nilivyosema ingekuwa afadhali kidogo.
Vigogo huu mwaka umeanza vibaya kwao.R.I.P kigogo wa Serikali pamoja m Dereva wako.
Ajali ilimlaza ndugu yangu mwaka Jana nae alikuwa kigogo wa Serikali,so painful
No reform no electionTeuz teuzi huko
Dah wapumzike wanapostahiliTunayaangaza maisha yako"
Halafu usiku wa manane. Madereva nao ni watu, wana usingizi.Kusafiri kwa Gari kutoka Dar hadi Musoma ni ngharama kubwa na hatari sana kuliko kupanda ndege
Ndio ila inafikia pahala inabidi iwe hivyo ndio maana alipokufa jiwe badala ya huzuni nilifurahia.Kifo kinaondoka na yeyote, hakichagui wakwenda nae
Hivi kazi ya yale ma Airbag huwa nini hasa kwenye ma V8? Sababu ukiangalia wapoonyesha crash testing kuyatangaza unajua hata ukiwa spidi 200 ukagonga treni lazima utoke salama
Hii lugha kwako ni pingu kadri unavyojitisa ndivyo inavyokubanaA wonderful thing is that the stupid one doesn't even himself recognize that he's so heaviest luggage to other people to be carried.
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
Tatizo siyo double road hata ingekuwa quadra road kama mindset ya watumiaji wa barabara ni mbaya ajali hazitakoma, mbona Kimara to Kibaha ni njia nne lakini bado unakuta ajaliHizi ajali Tanzania zimekuwa zikimaliza watu, kwakweli sijui tufanye kitu Gani, naomba serikali iweke nguvu kutengeneza double road Barabara zote zinazounga mikoa na wilaya kama ilivyo nchini china au ulaya
R.I.P Gissima
Hamna fumbo. Ajali ni uzembeIkifika siku zenu aina Ubani iwe ndege iwe V8 pengine kashasafiri sana kwenda uko Musoma lkn Ajali ni fumbo kubwa unaweza usijue kilichopelekea wakapata Ajali,,,
mungu awasameee makosa yao nasi tupo nyuma yao!!
Mungu anakuonaN
Ndio ila inafikia pahala inabidi iwe hivyo ndio maana alipokufa jiwe badala ya huzuni nilifurahia.
Mhandisi Nyamohanga Gissima Mkurugenzi wa TANESCO na Dereva Wake Wafariki dunia ambaye jina lake sijalipata wamefariki Dunia kwenye Ajali liyyotokea saa nane Usiku wakiwa njiani kuelekea Msoma. Walikuwa wanakaribia Serengeti
Wapumzike kwa amani
"Tunayaangaza maisha yako"
TANESCO MAKAO MAKUU, S.L.P. 453, DODOMA, TANZANIA, SIMU 180
TAARIFA KWA UMMA
TANZIA
Jumapili, 13 Aprili 2025.
Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) inasikitika kutangaza kifo cha aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCO, Mhandisi Gissima Nyamo-Hanga, kilichotokea leo tarehe 13 Aprili 2025 kufuatia ajali ya gari iliyotokea katika Wilaya ya Bunda, Mkoani Mara.
Bodi ya Wakurugenzi inatoa pole kwa familia ya marehemu, ndugu, jamaa, wafanyakazi wa TANESCO, na Watanzania wote kwa msiba huu mkubwa.
Taarifa zaidi kuhusu taratibu za mazishi na shughuli nyingine za maombolezo zitatolewa kadri mipango inavyoendelea kuratibiwa.
Imetolewa Na:
KURUGENZI YA MAWASILIANO NA HUDUMA KWA
WATEJA TANESCO MAKAO MAKUU DODOMA
====
MY TAKE
Tanzania tumemkosea nini Mungu? Kwanini tukipata Mchapakazi hadumu kwenye Uongozi anafariki Dunia? Inabidi tuliombee Taifa. Nampongeza Nyamohanga kwa kulitendea haki taifa. Alijuwa mchapakazi na mwenye IQ kubwa pia ameachia Vitu vingi na kafanya vitu vingi TANESCO sio Kama yule Maharage na Kampani yake. Nahisi kuna mkono wa mtu.