MwajabuOmary
JF-Expert Member
- Jul 11, 2013
- 2,059
- 2,982
Kule msoma bado hakuna airport mpaka leoMkurugenzi wa Tanesco anasafiri umbali wote kutoka dar mpaka Msoma kwa gari kwani ndege hazikuwepo?
Kule msoma bado hakuna airport mpaka leoMkurugenzi wa Tanesco anasafiri umbali wote kutoka dar mpaka Msoma kwa gari kwani ndege hazikuwepo?
Ile barabara wala sio finyu. Labda dereva kuchoka maana Tanzania ukiwa chini ya amri ya MTU cha moto unakionaAjari za barabara zetu ni ufinyu wa barabara hakuna lengine
Bora hata upande usafiri wa umma, ni hatari sana.Ndio asafiri SAA nane ya usiku? Kuendesha Gari usiku ni hatari sana kwa dereva, abiria, chombo chenyewe na watumiaji wengine wa barabara.
Ndio maana kwenye taasisi zinazoongozwa na watu wenye akili wanakuwa na kitu kinaitwa journey management kabla ya kuanza safari yoyote.
Anaonyesha safari itaanza asubuhi ya SAA ngapi, mtapita njia ipi? Barabara mtakayoitumia ikoje? Mtakula wapi? Mtalala wapi? Etc.
Unapoendesha Gari kukiwa na mwanga wa Asili, dereva huona vizuri na akili inakuwa active.
Kuendesha SAA nane usiku ni hatari sana, boss kalala, dereva anaendesha huku kasinzia
Duuh inasikitisha!Mhandisi Nyamohanga Gissima Mkurugenzi wa TANESCO na Dereva Wake Wafariki dunia ambaye jina lake sijalipata wamefariki Dunia kwenye Ajali liyyotokea saa nane Usiku wakiwa njiani kuelekea Msoma. Walikuwa wanakaribia Serengeti
Wapumzike kwa amani
Stay Tuned
====
MY TAKE
Tanzania tumemkosea nini Mungu? Kwanini tukipata Mchapakazi hadumu kwenye Uongozi anafariki Dunia? Inabidi tuliombee Taifa. Nampongeza Nyamohanga kwa kulitendea haki taifa. Alijuwa mchapakazi na mwenye IQ kubwa pia ameachia Vitu vingi na kafanya vitu vingi TANESCO sio Kama yule Maharage na Kampani yake. Nahisi kuna mkono wa mtu
View attachment 3302563View attachment 3302564View attachment 3302565View attachment 3302566View attachment 3302567
Business as usual !Kinachotokea hapo ni kuvunja protocal...Siku moja tulikuwa wanne tu , tunataka Dar kuelekea Mwanza ...kwanza tulipanga safari tutoke 12 kamili asubuhi ila tuliondoka 3 kasoro Asubuhi ,watu wanajivuta na dereva alifika mapema.
Tulikanyaga sana mpaka mdada mmoja alitapika njiani ,tulipfika Dodoma meneja alituacha kwenye Hotel akaondoka bila ya sababu ya msingi ...Mpaka anarudi katumia masaa mawili...Tulikanyaga tukaenda kulala Tabora saa 5 usiku tunafika hapo.
Mwendokasi barabara zetu ni ndogo na zenye mashimonkila kona.Mhandisi Nyamohanga Gissima Mkurugenzi wa TANESCO na Dereva Wake Wafariki dunia ambaye jina lake sijalipata wamefariki Dunia kwenye Ajali liyyotokea saa nane Usiku wakiwa njiani kuelekea Msoma. Walikuwa wanakaribia Serengeti
Wapumzike kwa amani
Stay Tuned
====
MY TAKE
Tanzania tumemkosea nini Mungu? Kwanini tukipata Mchapakazi hadumu kwenye Uongozi anafariki Dunia? Inabidi tuliombee Taifa. Nampongeza Nyamohanga kwa kulitendea haki taifa. Alijuwa mchapakazi na mwenye IQ kubwa pia ameachia Vitu vingi na kafanya vitu vingi TANESCO sio Kama yule Maharage na Kampani yake. Nahisi kuna mkono wa mtu
View attachment 3302563View attachment 3302564View attachment 3302565View attachment 3302566View attachment 3302567
Hapo kuna mtu anatafutiwa nafasi hiyo na bi kidude. Kumbuka mbunge wa kigamboni na anayetafutiwa nafasi whoMhandisi Nyamohanga Gissima Mkurugenzi wa TANESCO na Dereva Wake Wafariki dunia ambaye jina lake sijalipata wamefariki Dunia kwenye Ajali liyyotokea saa nane Usiku wakiwa njiani kuelekea Msoma. Walikuwa wanakaribia Serengeti
Wapumzike kwa amani
Stay Tuned
====
MY TAKE
Tanzania tumemkosea nini Mungu? Kwanini tukipata Mchapakazi hadumu kwenye Uongozi anafariki Dunia? Inabidi tuliombee Taifa. Nampongeza Nyamohanga kwa kulitendea haki taifa. Alijuwa mchapakazi na mwenye IQ kubwa pia ameachia Vitu vingi na kafanya vitu vingi TANESCO sio Kama yule Maharage na Kampani yake. Nahisi kuna mkono wa mtu
View attachment 3302563View attachment 3302564View attachment 3302565View attachment 3302566View attachment 3302567
Kupitia hizo picha inaonekana ni collision kwa nyuma..Lori limepaki barabarani pengine bila kuwasha indicators au kuweka alama kuashiria limesimama..utii wa sheria za barabarani kwa watanzania ni mdogo sana..hali ya kutokujali ni ya kiwango cha juu sana!Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Umeme TANZANIA yaani TANESCO , Mhandisi Gissima Nyamuhanga Jana Usiku alipata Ajali ya Gari na kufariki hapo hapo, akiwa anatokea mikoa ya Kanda Ya Ziwa. pia Dereva wake naye amefariki,
Hizi ajali Tanzania zimekuwa zikimaliza watu, kwakweli sijui tufanye kitu Gani, naomba serikali iweke nguvu kutengeneza double road Barabara zote zinazounga mikoa na wilaya kama ilivyo nchini china au ulaya
R.I.P Gissima
Tumia akili Kufikiria mkuu, Ivo Level ya Mtendaji Mkuu wa Shirika Kama Tanesco kweli Afukuzane na Perdiem?? Hiyo hapana kabisa MD hawezi kuwa Low kiasi icho hio ni ajali na sio watu wote wana Prefer ndege mwingine hupenda Roads ili afanye ukaguzi pia wa Miundombinu yakeHata mimi nashangaa ,wanaenda trip ndefu ili mradi wapate per diem wote ,dereva na mkurugenzi... Mfano sisi Dar es salaam unakuta tunaenda trip ya kizazi mpaka Mbeya au Mwanza na gari badala hata ya kuchukua ndege ,kote Mbeya na Mwanza kuna viwanja vizuri na route za ndege za kilq siku.
Hii nakubaliana na wewe kwa kiasi fulani,mshua wangu enzi zake alikuwa anapenda sana kusafiri usiku,halafu kumbuka mchana dereva wake alikuwa busy vile vile,je kwanini usiku asisinzie?Ile barabara wala sio finyu. Labda dereva kuchoka maana Tanzania ukiwa chini ya amri ya MTU cha moto unakiona
Kwa hakikaKusafiri kwa Gari kutoka Dar hadi Musoma ni ngharama kubwa na hatari sana kuliko kupanda ndege
Nimekuelewa mkuuMkuu,
Unge soma content TU Mbona inaeleweka wewe umejipa Majukumu ya kukagua TENSES & GRAMMAR 🤣😂
Kwa kifupi TUMAINI EL ni moja ya watu waliopo jikoni hivyo comment zake so za kutilia Mashaka / doubt
Kuna gari zimefungwa smart car alarm za kudisable engine kulingana na schedule iliyowekwa (sina hakika kama zinadisable engine, mi sio mtaalamu) Mtanisaidia kufafanua vizuri.Kinachotokea hapo ni kuvunja protocal...Siku moja tulikuwa wanne tu , tunataka Dar kuelekea Mwanza ...kwanza tulipanga safari tutoke 12 kamili asubuhi ila tuliondoka 3 kasoro Asubuhi ,watu wanajivuta na dereva alifika mapema.
Tulikanyaga sana mpaka mdada mmoja alitapika njiani ,tulipfika Dodoma meneja alituacha kwenye Hotel akaondoka bila ya sababu ya msingi ...Mpaka anarudi katumia masaa mawili...Tulikanyaga tukaenda kulala Tabora saa 5 usiku tunafika hapo.
Wenye kujali maisha yao na ya wengine huwa hawasafiri Usiku !Ajali haina kinga (Lame African way)
Lakini ni risk zaidi kusafiri usiku tukizingatia miundombinu ya barabara zetu.
Kwa wafanya kazi mahali fulani fulani mtuambie ni kwanini moja ya policy ya safari mwisho wa kusafiri kwa barabara ni saa kumi na mbili jioni? Jioni muwe mmeshareach destination fulani ambako mtapata malazi…
RIP mkurugenzi.
Usinichekeshe msibani!Wenye kujali maisha yao na ya wengine huwa hawasafiri Usiku !
Usiku huwa ni majira ya utawala mwingine spiritually ! Huenda ndio maana hata Bendera hushushwa saa 12 mpaka kesho saa 12 asubuhi 😅 !
Sio Dodoma?Mkurugenzi wa Tanesco anasafiri umbali wote kutoka dar mpaka Msoma kwa gari kwani ndege hazikuwepo?