TANZIA Mkurugenzi Mtendaji wa Tanesco, Gissima Nyamo-Hanga na dereva wake wafariki dunia

This high ranking officer are under president secret service hence once you leave your area of duty you mask make sure ume aga vizuri if not hilo ni somo la walio kwenye mfumo.. kwaheri
 
RIsk ya hali ya juu. Ila kuna dharura pia mfano labda kapatwa na jambo lakuhitaji uharaka bila.maandalizi
 
Kusafiri kwa Gari kutoka Dar hadi Musoma ni ngharama kubwa na hatari sana kuliko kupanda ndege
Hata mimi nashangaa ,wanaenda trip ndefu ili mradi wapate per diem wote ,dereva na mkurugenzi... Mfano sisi Dar es salaam unakuta tunaenda trip ya kizazi mpaka Mbeya au Mwanza na gari badala hata ya kuchukua ndege ,kote Mbeya na Mwanza kuna viwanja vizuri na route za ndege za kilq siku.
 

Madereva wa serekali ni shida kuliko wa mabasi.

Wapumzike kwa amani.
 
R.I.P Mkurugenzi
 
RIsk ya hali ya juu. Ila kuna dharura pia mfano labda kapatwa na jambo lakuhitaji uharaka bila.maandalizi
Hakuna dharuru ndugu yangu ,hii watumishi wanajua ...Hii tunaita road trip ,hapo mtu atakaa njiani siku mbili au tatu ili kuongeza per diem ...Huyo jamaa anaweza hata kuchukua ndege ya kukodi (charter flight) akaenda anapotaka..


Ni ujanja tu ndugu yangu.
 
Kumbe ni katika namna ya kutengeneza upigaji tu. Si ni ndio mkuu..?
 
Ikifika siku zenu aina Ubani iwe ndege iwe V8 pengine kashasafiri sana kwenda uko Musoma lkn Ajali ni fumbo kubwa unaweza usijue kilichopelekea wakapata Ajali,,,
mungu awasameee makosa yao nasi tupo nyuma yao!!
 
Mkurugenzi wa Tanesco anasafiri umbali wote kutoka dar mpaka Msoma kwa gari kwani ndege hazikuwepo?
Sidhani kama mnatenda haki mkisema hivyo. Watu wasio wakurugenzi ndiyo wenye haki ya kusafiri kwa magari na kupata ajali? Jambo la msingi ni kudai barabara zetu zijengwe kwa viwango na madereva na magari yawe ya viwango.
 
Kwa vyovyote vile ajali hii mwendo kasi umechangia kuwa kubwa kiasi hiko!

Siku zote kawia ufike, sijui kwanini hatuzingatii sana misemo hii.

Wajaliwe Rehema za mwenyezi Mungu , pole nyingi sana kwa familia zao na tanesco na taifa kwa ujumla
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…