Mkurugenzi mtendaji wa UnitedHealthcare auliwa nje ya hoteli Midtown Manhattan

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Posts
94,296
Reaction score
122,540
IMG_7309.jpeg

View: https://youtu.be/NM2hAO4p8IU?si=6YELos-i_A88ekRw

Inavyosemekana mauajj yametokea mapema asubuhi mishale ya saa 12 na dakika 45 nje ya hoteli ya Hilton.

Huyo CEO ni Brian Thompson.

Inavyoelekea mauaji hayo ni kuwindwa. Jamaa alipomaliza mauaji yake akapanda ki baskeli cha umeme na kutokomea kusikojulikana.

Ila ni suala la muda tu atajulikana ni nani. Na si ajabu law enforcement tayari wameshamjua ni nani lakini hawajatangaza tu.

Kwenye hii miji mikubwa kuna network kubwa sana ya camera ambapo huwezi kufanya uhalifu halafu usijulikane.
 
Kama wameshajua alipanda baiskeli maana yake muda si mrefu atakamatwa tofauti na Tanzania muuaji(polis)Huwa hakamatwi zaidi hupewa jina la asiyejulikana japo kuwa anajulikana.mfano muuaji wa mzee kibao,beni saanane,soka,na wengine wengi zaidi ya tisini.
 
Ndani ya masaa 48 atakuwa keshakamatwa, kama hatajiua mwenyewe.
 
Health insurance miaka ya 2000 ilikuwa family package unalipia $60 self employed people. Sasahivi $600 na kupanda. Wakati NHIF family plan tena ya platinum group chini ya Millions 1 shilling's. Tanzania sihami🤣
 
View attachment 3169032

View: https://youtu.be/NM2hAO4p8IU?si=6YELos-i_A88ekRw

Inavyosemekana mauajj yametokea mapema asubuhi mishale ya saa 12 na dakika 45 nje ya hoteli ya Hilton.

Huyo CEO ni Brian Thompson.

Inavyoelekea mauaji hayo ni kuwindwa. Jamaa alipomaliza mauaji yake akapanda ki baskeli cha umeme na kutokomea kusikojulikana.

Ila ni suala la muda tu atajulikana ni nani. Na si ajabu law enforcement tayari wameshamjua ni nani lakini hawajatangaza tu.

Kwenye hii miji mikubwa kuna network kubwa sana ya camera ambapo huwezi kufanya uhalifu halafu usijulikane.

Nchi gani hii ? Afghanistan?
 
Mi huangalia sana DI, mauaji mengi tu miji mikubwa na hakuna anayedakwa,cold cases nyingi mno
 
Back
Top Bottom