View attachment 3169032
View: https://youtu.be/NM2hAO4p8IU?si=6YELos-i_A88ekRw
Inavyosemekana mauajj yametokea mapema asubuhi mishale ya saa 12 na dakika 45 nje ya hoteli ya Hilton.
Huyo CEO ni Brian Thompson.
Inavyoelekea mauaji hayo ni kuwindwa. Jamaa alipomaliza mauaji yake akapanda ki baskeli cha umeme na kutokomea kusikojulikana.
Ila ni suala la muda tu atajulikana ni nani. Na si ajabu law enforcement tayari wameshamjua ni nani lakini hawajatangaza tu.
Kwenye hii miji mikubwa kuna network kubwa sana ya camera ambapo huwezi kufanya uhalifu halafu usijulikane.
Watanzania wengi tushalala hapo wakati wa mikitano katika kumbi zilizo Karibu na hapo!