Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Yeah inavyoelekea jamaa kamuua kwa kukusudia kabisa.Yaani jamaa kamsubiri marehemu karibia masaa 2 na kamlenga shabaha mita 20 na risasi zote zimempata!
Hatari sana.
Ndani ya masaa 48 atakuwa keshakamatwa, kama hatajiua mwenyewe.Kama wameshajua alipanda baiskeli maana yake muda si mrefu atakamatwa tofauti na Tanzania muuaji(polis)Huwa hakamatwi zaidi hupewa jina la asiyejulikana japo kuwa anajulikana.mfano muuaji wa mzee kibao,beni saanane,soka,na wengine wengi zaidi ya tisini.
Polisi wamenasa last point alitumia e-bike yenye GPS.Ndani ya masaa 48 atakuwa keshakamatwa, kama hatajiua mwenyewe.
Nchi gani hii ? Afghanistan?View attachment 3169032
View: https://youtu.be/NM2hAO4p8IU?si=6YELos-i_A88ekRw
Inavyosemekana mauajj yametokea mapema asubuhi mishale ya saa 12 na dakika 45 nje ya hoteli ya Hilton.
Huyo CEO ni Brian Thompson.
Inavyoelekea mauaji hayo ni kuwindwa. Jamaa alipomaliza mauaji yake akapanda ki baskeli cha umeme na kutokomea kusikojulikana.
Ila ni suala la muda tu atajulikana ni nani. Na si ajabu law enforcement tayari wameshamjua ni nani lakini hawajatangaza tu.
Kwenye hii miji mikubwa kuna network kubwa sana ya camera ambapo huwezi kufanya uhalifu halafu usijulikane.
Wapi hii? Afghanistan π¦π«?Kwa mnyamwezi hamna shida atanasa tu labda kama project CIA.
BurundiWapi hii? Afghanistan π¦π«?
Taarifa zaidi zasemapolis wamepata simu alidondosha alipokuwa akikimbia.Kwa mnyamwezi hamna shida atanasa tu labda kama project CIA.
Mi huangalia sana DI, mauaji mengi tu miji mikubwa na hakuna anayedakwa,cold cases nyingi mnoView attachment 3169032
View: https://youtu.be/NM2hAO4p8IU?si=6YELos-i_A88ekRw
Inavyosemekana mauajj yametokea mapema asubuhi mishale ya saa 12 na dakika 45 nje ya hoteli ya Hilton.
Huyo CEO ni Brian Thompson.
Inavyoelekea mauaji hayo ni kuwindwa. Jamaa alipomaliza mauaji yake akapanda ki baskeli cha umeme na kutokomea kusikojulikana.
Ila ni suala la muda tu atajulikana ni nani. Na si ajabu law enforcement tayari wameshamjua ni nani lakini hawajatangaza tu.
Kwenye hii miji mikubwa kuna network kubwa sana ya camera ambapo huwezi kufanya uhalifu halafu usijulikane.
Hiyo nchi ya hovyo mno,hao siyo watu bali hayawani wavaao nguoSad. America kuondolewa mbona chap hivyo
Huyu atadakwa muda si mrefu. Midtown Manhattan camera kila kona.Mi huangalia sana DI, mauaji mengi tu miji mikubwa na hakuna anayedakwa,cold cases nyingi mno
Angola mji mkuu wa Chile mkuuWapi hii? Afghanistan π¦π«?