Mkurugenzi mtendaji wa UnitedHealthcare auliwa nje ya hoteli Midtown Manhattan

Watanzania wengi tushalala hapo wakati wa mikitano katika kumbi zilizo Karibu na hapo!
 
NYPD wametoa picha za muuaji akiwa hajaziba uso wake.

Sasa ni suala la muda tu. Na si ajabu tayari wameshamuweka kwenye 18 zao na wako mbioni kumkamata.

 
Aisee, inasikitisha kupoteza uhai kwa matashi ya mtu mwingine
Video ya akipigwa risasi na kudondoka inasikitisha sana.

Kapigwa risasi kutoka nyuma.

Hakuwa na nafasi yoyote ile ya kujihami.
 
Uh oh…….a person [of interest] is in custody in Altoona, PA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…