welding1682
JF-Expert Member
- Aug 20, 2019
- 2,151
- 4,681
NHC ni shirika la kitaifa sio la Dar es salaam tu, linatakiwa lipange mipango ya kupeleka uwekezaji nchi nzima na sio kurundika Dar tu hivyo ni hoja dhaifu.Hoja yake ni kwamba miradi iliyokuwa inaendelea ilisimama,kusimama kwa miradi hiyo kulisababisha hasara kwa shirika.Kuamia kwa serikali Dodoma kulifanya mipango ielekezwe Dodoma.
Aanzie alipopakuta. Serikali ilipoamua kuhamia dodoma ilijua hayo. So ye aanzie alipopakuta, hayo mambo ya hasara zilizopita aiachie serikali.Hoja yake ni kwamba miradi iliyokuwa inaendelea ilisimama,kusimama kwa miradi hiyo kulisababisha hasara kwa shirika.Kuamia kwa serikali Dodoma kulifanya mipango ielekezwe Dodoma.