Mkurugenzi TPA: Mkataba wa Ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo ungeifilisi Tanzania

Pole. Maguliiii utabaki kuwa juuu. Utabaki kuwa juu mawinguni
kama ni hivyo bas ni afadhari walivyopiga chini huo mradi, ILA UKWELI UTABAKI PALEPALE KUA MAGUFULI NI RAIS WA HOVYO KUWAHI KUTOKEA KTK HISTORIA YA NCHI HII, ova.
 
Just because JPM made a right move here does not mean he is "the best for this country"..even a broken clock is right twice a day. He is still on track to be one of the worst leaders this country has ever had
BAK usiwe mnafiki still Rais Magufuli is the best for this country. Nani angeweza kukataa huo mktaba mbovu kama sio Rais Magufuli.
Au sometimes una smoke ile sigara kubwa
 
Yapo mazuri machache aliyofana na labda ataendelea kufanya kama Rais. Hata hivyo maovu yake kwa wananchi na uchumi kwa ujumla yamekithiri na kufanya mazuri machache yawe si kitu. Tulikosea sana 2015!
Magu amezuia mkataba wa hovyo, BAK kaleta mada inayoelezea kitu kizuri kilichofanywa na awamu hii sasa huoni kuwa anakubali (japo kwa shingo upande) mazuri anayoyafanya Magu?
 
Yapo mazuri machache aliyofana na labda ataendelea kufanya kama Rais. Hata hivyo maovu yake kwa wananchi na uchumi kwa ujumla yamekithiri na kufanya mazuri machache yawe si kitu. Tulikosea sana 2015!
Amen! Ndicho nilichokua nasema hapo juu. Hata saa mbovu huwa sahihi mara mbili kwa siku
 
Tatizo CHADEMA...
 
Reactions: BAK
Hoja ya msingi ni serikali iliyopo kupambana tupate 50/50 na sio kupoteza fursa.
Mpaka serikali ifikie hatua ya kucancel mradi...lazma hao wachina watakua waligoma kuwa reasonable kwenye negotiation.
 
Siwezi kusahau ufisadi wa aina yoyote ile wa serikali za wahuni na mafisadi wa ccm. Kila ufisadi kuanzia wa Mwinyi umejadiliwa humu kwa marefu na mapana.

Hadi mkaja na changa la macho la kulivua gamba hahahahaha eti sasa tunalivua gamba! Kwa kuwafukuza Lowassa, Rostam na Chenge! Wakati ndani ya ccm kila mmoja ananuka uozo wa rushwa na ufisadi!

Hebu tumia akili japo kiduchu! Acha kujitoa ufahamu.

 
Hizo kodi zote zinzotajwa humu mlitka zilipwe n mtu mmoja?? Hata mimi nikiws mchina siwezi kukubali.
 
Mkuu,
Mbona sisi watanzania tunazilipa zote?

Nakubali kwamba ni kodi nyingi. Ila kama nikupunguza inatakiwa tupunguziwe wote..wawekezaji wa ndani na wa nje.

Ingekua very unfair hao wachina wapewe huo msamaha wakati sisi watanzania tunabeba huo mzigo.
Hizo kodi zote zinzotajwa humu mlitka zilipwe n mtu mmoja?? Hata mimi nikiws mchina siwezi kukubali.
 
Usiniwekee maneno yako mdomoni mwangu.Eti namkubali huyo fisadi kwa shingo upande? 😳😳😳Vipi wewe!? Usilazimishe kisichokuwepo wala ambacho hakitakuja kutokea eti mimi nimkubali huyo nduli wa Ikulu.
😛 😛😛
 
Hakika unastahili kuitwa Lissu wa Jamiforums maana humungunyi maneneo!
 
Mi Ndugai bado namtafakari maslahi yake kwenye huo mkataba .katika mihimili yote mhimili unaojitahidi kuwa na sisi ni serikali chini ya Magu . Sina uhakika kama Ndugai alijibaraguza akimaanisha kutoiamini serikali. Maana nasikia nae alikuwepo huko. Sina uhakika kama kuna mkataba salama kama umesainiwa awamu tofauti na ya tano
 
Tunaishi ktk Dunia ya Ubepari, kumbuka Ubepari ni Unyama hakuna utu kabisa
Katika hali ya kawaida kibiashara hatupaswi kususa. Tulipaswa na sisi tuseme lipi tunalitaka kwenye huo Mkataba na lipi hatulitaki katika Mkataba huo
Ndio maana hili suala la Mikataba lilishaongelewa miaka nenda miaka rudi hii mikataba iwe wazi ijadiliwe Bungeni ili wawakilishi wetu watusaidie kudadavua kipi chenga, kipi Mchele
 
Ni nani waliosaini mkataba? je wamechukuliwa hatua gani kwa kuusaini huo mkataba ambao ungeifilisi Nchi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…