Mkurugenzi TPA: Mkataba wa Ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo ungeifilisi Tanzania

Daima nimefunzwa kutokuhukumu kwa habari ya upande mmoja, haya mahojiano ni Mkurugenzi wa mamlaka ya bandari ambae ni sehemu ya serikali ambao wameagiza vijana wao kuja kutukana huu mkataba mitandaoni. Hivyo basi nachukulia hii habari kama ya upande mmoja nazuia maoni yangu mpaka ntakaposkia upande wa pili. Mwanachi wangekuwa na weledi kama wangetafuata upande wapili wa wawekezaji pia au walau tungevujishiwa tu huo mktaba tujisomee wenyewe.
 
Ndugai aliporopoka Bungeni hakujua hili? Kweli jamaa (Ndugai) ni hasara kwa Taifa.
 
Reactions: BAK
jibu mujarabu kabisa
 
Ni bahati sana huu mkataba haukuweza kusainiwa mapema katika awamu ya nne. Tunakushukuru Mhe. Magufuli kwa kuliona hili. Awamu ya nne ingeiwekea sahihi mkataba huu licha ya mapungufu lukuki aliyokuwa anataka mwekezaji. Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mumpe. Baada ya kusoma mapungufu haya natumaini Mhe. Spika atakabuliana na uamuzi wa kusitisha mradi huu.
 
Huo mkataba unawakilisha namna viongozi walivyohatari kwa usalama wa nchi endapo watapewa madaraka makubwa ya kuingia mikataba na kuiruhusu ianze kuwa implemented bila ya wataalamu wetu wa mikataba ndani kui review kuhakikisha haitufungi.

Bunge ni moja kati ya vyombo hivyo, halitakiwi kuwa bypassed kama viongozi wanavyolifanyia bunge letu. Katika nchi zenye katiba safi viongozi hasa wa upinzani wana whistle blow ujinga kama huu na kuwaamsha watu kupinga huu ujinga.

Hata Rais Magufuli hajalipa Bunge na wapinzani nafasi nzuri ya kulisaidia taifa kwa mambo hayo. Maana mikataba yake mingi pia haieleweki si ndiyo yale yale siku akiondoka na yeye aje atuachie shombo
 
Yapo mazuri machache aliyofana na labda ataendelea kufanya kama Rais. Hata hivyo maovu yake kwa wananchi na uchumi kwa ujumla yamekithiri na kufanya mazuri machache yawe si kitu. Tulikosea sana 2015!
Wengi wetu hapa tunaompenda Magu tulikuwa tunaipinga CCM wakati wa utawala wa JK, sasa Magu anapiga pale pale tulipokuwa tunataka JF afanye. Mnalalamikia uchumi ni lini Tanzania ilikuwa an uchumi mzuri?
 
 
Magu amezuia mkataba wa hovyo, BAK kaleta mada inayoelezea kitu kizuri kilichofanywa na awamu hii sasa huoni kuwa anakubali (japo kwa shingo upande) mazuri anayoyafanya Magu?
Sio kila kitu cha kubeza alichokileta mtoa taarifa ni kizuri tu wakati mwingine tusifie vinavyofanywa vizuri na magufuli.Kama ww alikugusa sehemu ya mali zako unatakiwa ujitafakari ni jinsi gani kuendana na yeye na utafanikiwa.
 
Nakupongeza sana kwa kuliona hilo ifikie muda sio kila kitu ni kupinga tu.
 
Sio kila kitu cha kubeza alichokileta mtoa taarifa ni kizuri tu wakati mwingine tusifie vinavyofanywa vizuri na magufuli.Kama ww alikugusa sehemu ya mali zako unatakiwa ujitafakari ni jinsi gani kuendana na yeye na utafanikiwa.
Umeshaona sehemu hata moja napinga utendaji wa Magufuli?
 
Habari kama hii hua huzileti nini kimekusibu zwazwa wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…