Mkurugenzi TUTUBA (same).damu yangu itaulizwa juu yako..

Mkurugenzi TUTUBA (same).damu yangu itaulizwa juu yako..

mfate42

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2014
Posts
4,034
Reaction score
4,792
Kwa nilipofikia hivi Sasa mkurugenzi TUTUBA Kama nitafanya Jambo lolote lile la maamuzi magumu Basi wa kumuuliza Ni ANNA TUTUBA MKURUGENZI SAME..NA CABINET YAKE
 
Mkuu tatizo nini
Naona unalalamika toka mda mrefu then hauweki wazi nini tatizo

Mwaga mboga hapa kuna maboss wengi wa gvt watakutatulia kilio chako
 
Funguka
Screenshot_20230530-190409.jpg
 
Kafanyaje? Tema nyongo, uhai wako ni muhimu zaidi kuliko hayo mengineyo
 
Kama hamjatendewa haki kwa umoja wenu, mwandikieni mwajiri wake ipitie kwenye taasisi za kiuchunguzi, mkiambatanisha na vielelezo vyenu
 
Back
Top Bottom