mfate42 JF-Expert Member Joined Nov 16, 2014 Posts 4,034 Reaction score 4,792 May 30, 2023 #1 Kwa nilipofikia hivi Sasa mkurugenzi TUTUBA Kama nitafanya Jambo lolote lile la maamuzi magumu Basi wa kumuuliza Ni ANNA TUTUBA MKURUGENZI SAME..NA CABINET YAKE
Kwa nilipofikia hivi Sasa mkurugenzi TUTUBA Kama nitafanya Jambo lolote lile la maamuzi magumu Basi wa kumuuliza Ni ANNA TUTUBA MKURUGENZI SAME..NA CABINET YAKE
increase Senior Member Joined May 3, 2023 Posts 105 Reaction score 185 May 30, 2023 #2 Mkuu tatizo nini Naona unalalamika toka mda mrefu then hauweki wazi nini tatizo Mwaga mboga hapa kuna maboss wengi wa gvt watakutatulia kilio chako
Mkuu tatizo nini Naona unalalamika toka mda mrefu then hauweki wazi nini tatizo Mwaga mboga hapa kuna maboss wengi wa gvt watakutatulia kilio chako
Equation x JF-Expert Member Joined Sep 3, 2017 Posts 33,679 Reaction score 49,841 May 30, 2023 #4 Kafanyaje? Tema nyongo, uhai wako ni muhimu zaidi kuliko hayo mengineyo
Equation x JF-Expert Member Joined Sep 3, 2017 Posts 33,679 Reaction score 49,841 May 30, 2023 #5 Kama hamjatendewa haki kwa umoja wenu, mwandikieni mwajiri wake ipitie kwenye taasisi za kiuchunguzi, mkiambatanisha na vielelezo vyenu
Kama hamjatendewa haki kwa umoja wenu, mwandikieni mwajiri wake ipitie kwenye taasisi za kiuchunguzi, mkiambatanisha na vielelezo vyenu