Mkurugenzi Usalama wa Taifa wa Marekani awekwa kikaangoni na Senators masaa manne ya moto.

Mkurugenzi Usalama wa Taifa wa Marekani awekwa kikaangoni na Senators masaa manne ya moto.

Swahili AI

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2016
Posts
10,174
Reaction score
89,364

View: https://youtu.be/CZqDspnuYSk?si=UMrMe0lG0O0PZovA

View: https://www.youtube.com/live/x0IhM-veJIM?si=tkwDLfxodgRbbTWe
Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa wa Marekani, Kimberly Cheatle, alikabiliwa na ukosoaji mkubwa kufuatia jaribio la kumuua Donald Trump katika mkutano wa kampeni huko Butler, Pennsylvania. Katika mahojiano na vyombo vya habari, Cheatle alikubali kuwa kulikuwa na mapungufu ya kiusalama na aliahidi ushirikiano kamili na uchunguzi huru pamoja na ule unaofanywa na FBI na Idara ya Usalama wa Taifa [[❞]](https://www.foxnews.com/live-news/trump-says-secret-service-did-not-warn-him-about-gunman-before-assassination-attempt). Pia, alikubaliana na mapendekezo ya kuboresha usalama ili kuepuka matukio kama haya siku za usoni [[❞]](https://www.foxnews.com/live-news/trump-says-secret-service-did-not-warn-him-about-gunman-before-assassination-attempt).
 
Huku kwetu Mkurugenzi wa TISS anafanywa kama Mungu mtu, haojiwi kwa lolote.

Kibongo bongo mpaka mfungua gate wa St. peters nae anavimba kama vile ni mungu mtu.

Ingetokea bongo mpinzani kutunguliwa, ingekuwa kusifiana tu.
 
Aloo nimeangalia hii LIVE Aljazeera mwanzo mwisho. Director kakana maswali yote! Tena wamempanikisha ili aingie mtegoni kakwepa!. Kuna kitu kikubwa sana cha kujifunza serikali yetu ya Tanzania na Africa kwa ujumla, Wenzetu wanatekeleza kanuni ya uwajibikaji katika sector zote.

Najaribu kuwaza kwa lile tukio la Lissu, Watu wetu wa usalama nao wangewekwa mtu kati live kwenye media wajibu nini kimetokea na walichukua hatua gani aloo tungekua mbali mno!

Ccm must go.

I.e TRANSPARENCY HAKUNA.
 
1721741577380.png


Huku kwetu akina Jah Pipo na Msukuma wanachekacheka tu
 
Back
Top Bottom