Mkurugenzi wa Amazon, Jeff Bezos anakuwa mtu wa kwanza duniani kuwa na utajiri wa Dola Bilioni 200

Je hizo Bilioni 200 sitamsaidia kununua pepo ya Mwenyezi Mungu ?
 

lakini pia ukilipisha watu buku 2 kwa mwezi au buku hawawezi kuona tabu
 
Nasemea payment platform ya biashara zinazifanyika jukwaa la biashara,wao wanakuwa wanapijea na kuhold malipo kabla mzigo haujaea delivered,so wanapata processing fee
 
Nimegundua kitu,kuna umri ukifika hata ungekuwa na matrilion ya pesa,hautaweza kujibadilisha ili watu waweze kukuona kwa macho tu kuwa wewe uko tofauti na watu wengine,na kibaya zaidi unazidi kuonekana na muonekano wa hovyo kuliko hata masikini,Ref.Bezos,Michael Jackson,Billgate,n.k...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…