Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
Aiseeelabda alifufua K, sio maiti[emoji16][emoji16]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aiseeelabda alifufua K, sio maiti[emoji16][emoji16]
Utajiri huu kaupata kwa njia gani U$D 200 sio pesa ya hapa na pale kwa biashara ya Amazon ilivyo unakubali uyo kapataje hata akiwa kwa udikteta.
Utajiri huu kaupata kwa njia gani U$D 200 sio pesa ya hapa na pale kwa biashara ya Amazon ilivyo unakubali uyo kapataje hata akiwa kwa udikteta.
Then sie tunaangalia Forbes na Players watathmini kama Bloom, NS nk ukiwatoa hao basi na mimi nasema Makonda anautajiri wa U$D 500 hatajwi na Forbesnkwasababu Leader.
Pesa hazishuki mbimbuni zina source sasa source yake nini kama kusema tu basi mimi nina U$D 10000 BillionHiko chuma kina hela kweli ila hakipendi shoo off kama ali kiba.
Hyo ni taarifa ya 2018.
Lakini kwa sasa ndo ana dola bilioni 250View attachment 1549852
Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Pesa hazishuki mbimbuni zina source sasa source yake nini kama kusema tu basi mimi nina U$D 10000 Billion
Sema wewe huwezi kuona tabu mkuu, kuna watu wanaishi kwa hesabu za kutembea juu ya waya, ukiongeza hata kiunyoya kimoja tu unatengeneza ajali.lakini pia ukilipisha watu buku 2 kwa mwezi au buku hawawezi kuona tabu
Sema wewe huwezi kuona tabu mkuu, kuna watu wanaishi kwa hesabu za kutembea juu ya waya, ukiongeza hata kiunyoya kimoja tu unatengeneza ajali.
Sidhan kama ni sahihi sana ila kilichompa neema kubwa ni COVID-19 kwa kuwa ulaya na marekan walifunga biadhara na kuweka watu wao karantini so mauzo ya kampuni yake ya Amazon yakapanda mara dufu mana ilibidi hizo nchi kila kitu ufanye online.Mungu ni wa ajabu. Kuachana na mkewe, ndio ikawa neema
Sio Akili za kimasikini mbele ya Mungu huyo jamaa atakufa na kuoza kama wewe. Na atafufuliwa akiwa kama wanadamu wengine bila hizo dola Bilioni 200. Always you have to think hereafterAkili za kimasikini hizi.
Sio Akili za kimasikini mbele ya Mungu huyo jamaa atakufa na kuoza kama wewe. Na atafufuliwa akiwa kama wanadamu wengine bila hizo dola Bilioni 200. Always you have to think hereafterYa Kaisari mpeni Kaisari na ya Mungu mpeni Mungu, acha abaki kunufaika na utajiri anaoutengeneza kihalali maana ni jasho lake. Pia Mungu si wa maskini pekee bali hata matajiri ni yeye aliyewaumba.
Anauza kila kinachouzika mkuu.Anauza nini, ie biashara yake ni ipi?
Njia nyingine rahisi ya kumonetise hii site binafsi naona ni freelancing.Inawezekana kutengeneza hela zaidi kwa matangazo kuliko kwa kulipisha watu.
Kwa sababu ukilipisha watu, watumiaji watakuwa wachache na watangazaji hawatavutiwa nawe.
Ukiwa na mfumo ambao haulipishinwatu kama JF, unakuwa na members wengi na watangazaji wataona unafaa kwa matangazo yao.

Hata akifa watoto wake wataendelea kukukimbiza wewe na watoto wako, vivyo hivyo mpaka wajukuu na vitukuu.Sio Akili za kimasikini mbele ya Mungu huyo jamaa atakufa na kuoza kama wewe. Na atafufuliwa akiwa kama wanadamu wengine bila hizo dola Bilioni 200. Always you have to think hereafter
Kwanza tubadilishe utamaduni wetu wa ku support vipawa toka ngazi ya familia hadi serikali na pia kati ya sisi kwa sisiHivi tanzania hamna eeee