JanguKamaJangu JF-Expert Member Joined Feb 7, 2022 Posts 2,780 Reaction score 6,607 Mar 16, 2024 #1 View: https://www.youtube.com/watch?v=Z7KgsABYcRc Mkurugenzi wa Bandari ya Dar, Mrisho Mrisho akizungumzia madai ya kuwa wateja wamekuwa wakiikimbia Bandari hiyo na kwenda Nchi jirani, amesema hizo ni propaganda za Kibiashara. Chanzo: Dar 24
View: https://www.youtube.com/watch?v=Z7KgsABYcRc Mkurugenzi wa Bandari ya Dar, Mrisho Mrisho akizungumzia madai ya kuwa wateja wamekuwa wakiikimbia Bandari hiyo na kwenda Nchi jirani, amesema hizo ni propaganda za Kibiashara. Chanzo: Dar 24