Mkurugenzi wa FBI asema wana wasiwasi na TikTok kuhusu usalama wa Marekani

Mkurugenzi wa FBI asema wana wasiwasi na TikTok kuhusu usalama wa Marekani

BARD AI

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2018
Posts
3,591
Reaction score
8,826
1670066746621.png

Mkurugenzi wa FBI, Chris Wray amesema mtandao wa kijamii wa China TikTok umeanza kuwatia "wasiwasi wa kuhusu usalama wa taifa la Marekani.

Akizungumza katika hafla katika Chuo Kikuu cha Michigan, Wray alionesha wasiwasi kwamba Serikali ya China inaweza kutumia data zilizokusanywa kupitia TikTok kwa watumiaji kwa "shughuli za jadi za ujasusi."

"Sisi, FBI tuna wasiwasi kuhusu usalama wa kitaifa juu ya TikTok. Kampuni mama yake inadhibitiwa na serikali ya Uchina hivyo inawapa uwezo wa kutumia programu hiyo kwa njia ambazo nadhani zinatuhusu," alisema.

=====================

This means China gets "the ability to control the recommendation algorithm which allows them to manipulate the content, if they want to, to use it for influence operations," he added.

He further said: "All of these things are in the hands of a government that doesn’t share our values, and that has a mission that's very much at odds with what’s in the best interests of the United States. That should concern us."

Last month, the FBI warned that data collected on TikTok could be used "maliciously" by the Beijing administration.

TikTok responded by saying it does not store US user data in China, where the law allows the government to force companies to hand over internal information.
 
Me huwa sielewi kivipi yaani hizi video za tiktok ndo zitasababisha kuibiwa data
 
Hizo ni fitna tu za kibiashara.
Wanaona tik tok inakua kwa speed kubwa na inakuwa tishio kwa makampuni mengine ya kimagharibi, sasa wanatafuta sababu.
 
Hamna tishio wala hatari yoyote. Wanataka kumshusha tu kibiashara.
 
Back
Top Bottom