CUF Habari JF-Expert Member Joined Dec 12, 2019 Posts 239 Reaction score 234 May 7, 2020 #1 HABARI Mkurugenzi wa Habari, Uenezi na Mahusiano Kwa Umma CUF Eng. Mohamed Ngulangwa ametangaza nia ya kugombea Ubunge Jimbo la Mkuranga.
HABARI Mkurugenzi wa Habari, Uenezi na Mahusiano Kwa Umma CUF Eng. Mohamed Ngulangwa ametangaza nia ya kugombea Ubunge Jimbo la Mkuranga.
YEHODAYA JF-Expert Member Joined Aug 9, 2015 Posts 36,902 Reaction score 52,001 May 7, 2020 #2 CUF Habari said: View attachment 1442439HABARI Mkurugenzi wa Habari, Uenezi na Mahusiano Kwa Umma CUF Eng. Mohamed Ngulangwa ametangaza nia ya kugombea Ubunge Jimbo la Mkuranga. Click to expand... Namuunga mkono.ni haki yake ya kikatiba na nawaunga mkono wote watakaotaka kugombea Hilo Jimbo toka vyama vyote Ni haki yao kikatiba
CUF Habari said: View attachment 1442439HABARI Mkurugenzi wa Habari, Uenezi na Mahusiano Kwa Umma CUF Eng. Mohamed Ngulangwa ametangaza nia ya kugombea Ubunge Jimbo la Mkuranga. Click to expand... Namuunga mkono.ni haki yake ya kikatiba na nawaunga mkono wote watakaotaka kugombea Hilo Jimbo toka vyama vyote Ni haki yao kikatiba
NAWATAFUNA JF-Expert Member Joined Nov 14, 2019 Posts 13,284 Reaction score 24,047 May 7, 2020 #3 Hongera yake sana muheshimiwa eng.mo kwa uamuzi wake makini katumia haki yake ipasavyo. Sent using Jamii Forums mobile app
Hongera yake sana muheshimiwa eng.mo kwa uamuzi wake makini katumia haki yake ipasavyo. Sent using Jamii Forums mobile app
Matumbulu JF-Expert Member Joined Jan 5, 2009 Posts 315 Reaction score 265 May 7, 2020 #4 NAWATAFUNA said: hongera yake sana muheshimiwa eng.mo kwa uamuzi wake makini katumia haki yake ipasavyo Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Mohamed lazima cuf wampe nafasi Sent using Jamii Forums mobile app
NAWATAFUNA said: hongera yake sana muheshimiwa eng.mo kwa uamuzi wake makini katumia haki yake ipasavyo Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Mohamed lazima cuf wampe nafasi Sent using Jamii Forums mobile app
Mikopo Chefuchefu JF-Expert Member Joined May 15, 2017 Posts 3,373 Reaction score 6,795 May 7, 2020 #5 YEHODAYA said: Namuunga mkono.ni haki yake ya kikatiba na nawaunga mkono wote watakaotaka kugombea Hilo Jimbo toka vyama vyote Ni haki yao kikatiba Click to expand... We unagombea wapi?
YEHODAYA said: Namuunga mkono.ni haki yake ya kikatiba na nawaunga mkono wote watakaotaka kugombea Hilo Jimbo toka vyama vyote Ni haki yao kikatiba Click to expand... We unagombea wapi?
NAWATAFUNA JF-Expert Member Joined Nov 14, 2019 Posts 13,284 Reaction score 24,047 May 7, 2020 #6 Matumbulu said: Mohamed lazima cuf wampe nafasi Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Sio kitemi sasa,simpaka wamchague kwani ni yeye peke yake ndo katangaza nia kwa jimbo la mkuranga? Sent using Jamii Forums mobile app
Matumbulu said: Mohamed lazima cuf wampe nafasi Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Sio kitemi sasa,simpaka wamchague kwani ni yeye peke yake ndo katangaza nia kwa jimbo la mkuranga? Sent using Jamii Forums mobile app
Abul Aaliyah JF-Expert Member Joined Nov 8, 2016 Posts 7,718 Reaction score 5,899 May 7, 2020 #7 Kumbe Sent using Jamii Forums mobile app
Tumia akili Member Joined Apr 1, 2013 Posts 66 Reaction score 1,232 May 7, 2020 #8 Hawa watu wanakuja huku wakidhani kila mtu anawafahamu.