Halmashauri ya Jiji DSM
Member
- Jul 19, 2023
- 8
- 33
Ahsante sana.Nimefurahi kuona uwepo wenu hapa JF
hizi ni ndoto za abunaswi hizo nafasi zina watu, hapa ni kuridhisha umma.Sawa mtoe kazi kwa haki punguzeni kujuana
Ondoka mabondeniKipindi cha mvua mjiite Halmashauri ya mto Dar maana jiji huwa linafunikwa na maji kote inakua mtoni
pale jangwani yanapopita magari?Ondoka mabondeni
Dar mafuriko ni mabondeni na wanaoishi karibia na mito mikubwa inayoenda baharini kama mto msimbaziKipindi cha mvua mjiite Halmashauri ya mto Dar maana jiji huwa linafunikwa na maji kote inakua mtoni
Lakini watajibu hoja zetu au?Nimefurahi kuona uwepo wenu hapa JF