Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Tarime adaiwa kubaka na kumlawiti binti wa miaka 16

Wewe mleta uzi huu ni mtu hatari sana! Km niuhasama na huyu jamaa basi ww unaweza kumuua kabisa, unachuki mbaya sana, ulicho andika ninachoweza kuchangia nipale uliposema na arusha alibaka akapandishwa cheo kutoka Das kuja kuwa mkurugenzi tarime! Mi nachangia hivi! Apandishwe tena cheo awe katibu mkuu.
Ova.
 
Mbona kama stori imekaa kiupande upande hivi? Kweli uhonge watu wote hao?
Unforgetable

[emoji2021]Manners Maketh Man[emoji2021]
Wako wangapi ? unadhani mkoani wapo waandishi wa Habari wangapi wakiwa wengi ni wa 4 na kila mwandishi anawakilisha vyombo 3 au 5 vya habari
 
Sio kila me anajua kutongoza wengine utumia pesa na kubaka baasi
 
Kama ni kweli basi Mkurugenzi atakuwa Malaya TU,


Binti mbona Ni wa kawaida tuu,???
 
mmh nashindwa hata niandike nini,binti wa miaka 16 anaajiliwa vipi kwenye taasisi kubwa kama hiyo tena ya serikali,kwanza alihitimu form four,chuo akiwa na miaka mingapi mbona kama hii case ni kupika
 
Hili la kushawishi vyombo vya habari ni jepesi sana wanatumikaga viongozi wao lakini kwajinsi jamaa alivyoandika sijui kama yuko tayari kusaidia uyo binti nimemuomba aniPM kagoma kabisa.
Aku-PM ili ufanye nini ambacho unaweza kufanya? Na asipoku-pm kwanini ushindwe kufanya? Huu ni mjadala wa wazi na siyo private!
 
AIBU KUBWA
 
Tarime kuna nn? Mbona mna penda sana kuwaandama wateule? Mmemsimanga LUOGA hadi akatenguliwa! Sasa mmehamia kwa Mkurugenzi! Mwacheni achape Kazi! Mambo ya mapenzi ni siri na makubaliano ya watu wawili.
 
Wanawake wapo wengi hivi unawezaje kubaka binti mdogo kama huyo kama kweli huyo DED achukuliwe hatua kali
 

Wewe vp, una ubia na huyo Mkurugenzi Mbakaji? Hapa hakuna Cha kujitahidi ati ajenge mahsiano mema na watumishi!! KINACHOTAKIWA SASA NI MAMLAKA YA UTEUZI KUMTUMBUA AU KUMFUTA KAZI HANA ADABU😎
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…