Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wako wangapi ? unadhani mkoani wapo waandishi wa Habari wangapi wakiwa wengi ni wa 4 na kila mwandishi anawakilisha vyombo 3 au 5 vya habariMbona kama stori imekaa kiupande upande hivi? Kweli uhonge watu wote hao?
Unforgetable
[emoji2021]Manners Maketh Man[emoji2021]
Ni yupi kati ya hao 2 atakuwa amebakwaKabakwa au katolewa BIKIRA?
Maana kwa Haki zilizopo sasa hata kutoa bikira unaweza kufungwa, sasa sijui bikira zitolewe hosp
Sent using Jamii Forums mobile app
Aku-PM ili ufanye nini ambacho unaweza kufanya? Na asipoku-pm kwanini ushindwe kufanya? Huu ni mjadala wa wazi na siyo private!Hili la kushawishi vyombo vya habari ni jepesi sana wanatumikaga viongozi wao lakini kwajinsi jamaa alivyoandika sijui kama yuko tayari kusaidia uyo binti nimemuomba aniPM kagoma kabisa.
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Tarime, kambaka Binti mwenye umri wa miaka 16 ambaye alikuwa akifanya kazi ya kukusanya mapato katika Hospitali ya Wilaya ya Tarime Kama kibarua.
Inasemekana siku ya tukio Mkurugenzi alimchukua binti huyo waende naye Musoma akidai Baba yake yuko Musoma anahitaji kuonana naye.
Walipofika Musoma akampeleka Guest moja (jina kapuni) akimdaganya Kwamba Baba wa huyu Binti atakuja hapo, matokeo yake akamwingilia kwa nguvu mbele na nyuma hivyo kusababisha kumpasua pasua vibaya.
Kwa sababu ya maaumivu makali Binti huyo alipiga kelele Sana ndipo mlinzi wa Guest alikuja kuokoa jahazi. Inasemekana Binti alikuwa bikra.
Siku ya ijumaa vyombo vya dola vilionekana Ofisi za Halmashauri ya Mji vikiwa busy na mafaili mbalimbali. Takukuru na TISS walishinda kwenye Ofisi hizo.
Hata hivyo inasemekana Mkurugenzi huyo amefanikiwa kuwatuliza waandishi wa habari wasiandike chochote kuhusu tukio hilo, wamepewa kiasi cha shilingi milioni mbili mbili na mpaka Sasa hakuna chombo chochote cha habari kilicho report tukio hilo pamoja na kuwa taarifa zimesambaa mji mzima.
Hii sio mara ya kwanza kwa Mkurugenzi kukatwa na case Kama hii. Akiwa DAS Wilaya moja mkoa wa Arusha alikamatwa kwa nyakati tofauti akifanya ngono Ofisini hatimaye alisimamishwa kazi, aliporejeshwa Kazini alipandishwa cheo na kuwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Tarime.
Huko Tarime tukio hilo si la kwanza pia, kaishakamatwa mara nyingi ugoni, na tukio kubwa kabla ya hili la huyu Binti ni kuwa alikamatwa na mke wake usiku wa manane akiwa amehama chumbani kwake na kwenda kwa Binti wa kazi akambaka.
Kazi anayofanya kwa sasa ni kuhakikisha anafuta ushahidi kwa kugawa pesa kwa Sehemu anayofikiri inaweza kumsaidia.
Kaimu Mkurugenzi aliyepo, anafanya kazi ya kufoji taarifa mbalimbali ikiwa ni pamoja na mikataba ya kazi ya vibarua wakishilikiana na Kaimu Afisa Utumishi.
Taarifa za ndani zinaonesha ametongoza na amefanikiwa kutembea na watumishi wanawake wengi walio makao Makuu ya Halmashauri na wanao Mkataa hupewa adhabu ikiwa ni pamoja na barua Kali, kusikamishwa kazi au kuhamishwa na wengi wao huamuwa kujihamisha.
Watetezi wa Wamama, Taasisi mbalimbali mnaombwa mjitokeze kumsaidia huyu Binti aliyeharibiwa
".. matokeo yake akamwingilia kwa nguvu mbele na nyuma hivyo kusababisha kumpasua pasua vibaya"
Wewe huwafahamu? Tembea kwenye mabaa utaona wanavyojimwambafai...Kumbe unawafahamu TISS, upo vizuri sana
Bahati mbaya siendagi huko nduguTembea kwenye mabaa
Tarime kuna nn? Mbona mna penda sana kuwaandama wateule? Mmemsimanga LUOGA hadi akatenguliwa! Sasa mmehamia kwa Mkurugenzi! Mwacheni achape Kazi! Mambo ya mapenzi ni siri na makubaliano ya watu wawili.
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Tarime, kambaka Binti mwenye umri wa miaka 16 ambaye alikuwa akifanya kazi ya kukusanya mapato katika Hospitali ya Wilaya ya Tarime Kama kibarua.
Inasemekana siku ya tukio Mkurugenzi alimchukua binti huyo waende naye Musoma akidai Baba yake yuko Musoma anahitaji kuonana naye.
Walipofika Musoma akampeleka Guest moja (jina kapuni) akimdaganya Kwamba Baba wa huyu Binti atakuja hapo, matokeo yake akamwingilia kwa nguvu mbele na nyuma hivyo kusababisha kumpasua pasua vibaya.
Kwa sababu ya maaumivu makali Binti huyo alipiga kelele Sana ndipo mlinzi wa Guest alikuja kuokoa jahazi. Inasemekana Binti alikuwa bikra.
Siku ya ijumaa vyombo vya dola vilionekana Ofisi za Halmashauri ya Mji vikiwa busy na mafaili mbalimbali. Takukuru na TISS walishinda kwenye Ofisi hizo.
Hata hivyo inasemekana Mkurugenzi huyo amefanikiwa kuwatuliza waandishi wa habari wasiandike chochote kuhusu tukio hilo, wamepewa kiasi cha shilingi milioni mbili mbili na mpaka Sasa hakuna chombo chochote cha habari kilicho report tukio hilo pamoja na kuwa taarifa zimesambaa mji mzima.
Hii sio mara ya kwanza kwa Mkurugenzi kukatwa na case Kama hii. Akiwa DAS Wilaya moja mkoa wa Arusha alikamatwa kwa nyakati tofauti akifanya ngono Ofisini hatimaye alisimamishwa kazi, aliporejeshwa Kazini alipandishwa cheo na kuwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Tarime.
Huko Tarime tukio hilo si la kwanza pia, kaishakamatwa mara nyingi ugoni, na tukio kubwa kabla ya hili la huyu Binti ni kuwa alikamatwa na mke wake usiku wa manane akiwa amehama chumbani kwake na kwenda kwa Binti wa kazi akambaka.
Kazi anayofanya kwa sasa ni kuhakikisha anafuta ushahidi kwa kugawa pesa kwa Sehemu anayofikiri inaweza kumsaidia.
Kaimu Mkurugenzi aliyepo, anafanya kazi ya kufoji taarifa mbalimbali ikiwa ni pamoja na mikataba ya kazi ya vibarua wakishilikiana na Kaimu Afisa Utumishi.
Taarifa za ndani zinaonesha ametongoza na amefanikiwa kutembea na watumishi wanawake wengi walio makao Makuu ya Halmashauri na wanao Mkataa hupewa adhabu ikiwa ni pamoja na barua Kali, kusikamishwa kazi au kuhamishwa na wengi wao huamuwa kujihamisha.
Watetezi wa Wamama, Taasisi mbalimbali mnaombwa mjitokeze kumsaidia huyu Binti aliyeharibiwa
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Tarime, kambaka Binti mwenye umri wa miaka 16 ambaye alikuwa akifanya kazi ya kukusanya mapato katika Hospitali ya Wilaya ya Tarime Kama kibarua.
Inasemekana siku ya tukio Mkurugenzi alimchukua binti huyo waende naye Musoma akidai Baba yake yuko Musoma anahitaji kuonana naye.
Walipofika Musoma akampeleka Guest moja (jina kapuni) akimdaganya Kwamba Baba wa huyu Binti atakuja hapo, matokeo yake akamwingilia kwa nguvu mbele na nyuma hivyo kusababisha kumpasua pasua vibaya.
Kwa sababu ya maaumivu makali Binti huyo alipiga kelele Sana ndipo mlinzi wa Guest alikuja kuokoa jahazi. Inasemekana Binti alikuwa bikra.
Siku ya ijumaa vyombo vya dola vilionekana Ofisi za Halmashauri ya Mji vikiwa busy na mafaili mbalimbali. Takukuru na TISS walishinda kwenye Ofisi hizo.
Hata hivyo inasemekana Mkurugenzi huyo amefanikiwa kuwatuliza waandishi wa habari wasiandike chochote kuhusu tukio hilo, wamepewa kiasi cha shilingi milioni mbili mbili na mpaka Sasa hakuna chombo chochote cha habari kilicho report tukio hilo pamoja na kuwa taarifa zimesambaa mji mzima.
Hii sio mara ya kwanza kwa Mkurugenzi kukatwa na case Kama hii. Akiwa DAS Wilaya moja mkoa wa Arusha alikamatwa kwa nyakati tofauti akifanya ngono Ofisini hatimaye alisimamishwa kazi, aliporejeshwa Kazini alipandishwa cheo na kuwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Tarime.
Huko Tarime tukio hilo si la kwanza pia, kaishakamatwa mara nyingi ugoni, na tukio kubwa kabla ya hili la huyu Binti ni kuwa alikamatwa na mke wake usiku wa manane akiwa amehama chumbani kwake na kwenda kwa Binti wa kazi akambaka.
Kazi anayofanya kwa sasa ni kuhakikisha anafuta ushahidi kwa kugawa pesa kwa Sehemu anayofikiri inaweza kumsaidia.
Kaimu Mkurugenzi aliyepo, anafanya kazi ya kufoji taarifa mbalimbali ikiwa ni pamoja na mikataba ya kazi ya vibarua wakishilikiana na Kaimu Afisa Utumishi.
Taarifa za ndani zinaonesha ametongoza na amefanikiwa kutembea na watumishi wanawake wengi walio makao Makuu ya Halmashauri na wanao Mkataa hupewa adhabu ikiwa ni pamoja na barua Kali, kusikamishwa kazi au kuhamishwa na wengi wao huamuwa kujihamisha.
Watetezi wa Wamama, Taasisi mbalimbali mnaombwa mjitokeze kumsaidia huyu Binti aliyeharibiwa
Mkurugenzi hana mahisiano mema na watumishi kwa kiasi kikubwa na huwa anatumia vitisho vingi kwamba aliaga kwao Kigoma akaja Tarime, cha msingi tuhuma hizi si nzuri ajitahidi kujenga mahusiano mema na wale wanaomzunguka hasa idara zote, akianzia afisa elimu, na pia idara ya afya.
Kwa ujumla sio mkurugenzi mwenye maamuzi ya busara na hekima.
Hamna mtumishi anaemkubali.
Yupoje tuelezee kidogo tumjueAisee kwa wasio mjua vizuri huyu watakataa