Mzalendo2015
JF-Expert Member
- Aug 14, 2012
- 6,710
- 9,063
Yupoje tuelezee kidogo tumjue
Naomba mwenye CV yake na picha atiwekee hapa tumjue vzr huyu mtu wa Sodoma na Gomora!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yupoje tuelezee kidogo tumjue
@bia yetu ananikumbusha mbali sana hapa JF tulikuwa na mtu alikuwa anajiita Malaria Sugu
Mwanangu anagongwa na mumeweKwa hiyo unaona powa, angekuwa mwanao ungefurahi agongwe kama alivyogongwa mtoto wa mwenzio Kwa kubakwa,?
Lbd Ana churaWanawake wapo wengi hivi unawezaje kubaka binti mdogo kama huyo kama kweli huyo DED achukuliwe hatua kali
Kama ni kweli ni serious. Ila, kwa local government politics. Inawezekana ni MTU anamharibia ili achukue kitiMbona kama stori imekaa kiupande upande hivi? Kweli uhonge watu wote hao?
Unforgetable
[emoji2021]Manners Maketh Man[emoji2021]