Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Tarime Elias Ntirihungwa, awafuta Ukuu wa Shule ambao Walitembelewa na Esther Matiko

Mkoa wa mara wote unarudi CCM nyie Chadema mtajuta kusimamisha huyo mtu wenu agombee Urais.

Mkipata hata wabunge wawili mkatambike.
Unaongea huu ujinga wako ukiw akwa keyborad, toa makalio yako uende ukaone
 
Ujinga wa Wana CCM ni kudhani wako salama sana kwenye vibarua vyao, nae ajiandae siku si nyingi atasugua bench
 
Eliash Ntirihungwa huyu atakuwa Mrundi....
 
Kuna sehemu maalumu za kupigia kampeni na sio mashuleni, sehemu ya kazi.Ikumbukwe kutoa nafasi kwa mgombea kuongea na wanafunzi wakati wa vipindi sio sahihi. Wakuu wa shule walikosea kuruhusu iwe kwa CCM au CHADEMA.
 
Kitendo hicho alichokifanya Mkurugenzi huyo kinapashwa kukemewa kwa nguvu zote !!!! Na hatua kali Sana zichukuliwe na Mamlaka ya Uteuzi haraka Sana ! Nashauri , Mamlaka ya Uteuzi , imuondoe haraka Sana Mkurugenzi huyo wa Halmashauri ya Mji wa Tarime ! Kwa jinsi ninavyomfahamu Mheshimiwa Suleiman Jaffo , atamuondoa haraka Sana Mkurugenzi huyo ! Anaichafua Serikali . Hatuwezi kukubali Kama wana CCM .
 
Mkoa wa mara wote unarudi CCM nyie Chadema mtajuta kusimamisha huyo mtu wenu agombee Urais.

Mkipata hata wabunge wawili mkatambike.
Wewe shetani ,nikublock sijui kwanini Bado ninaona thread zako.Kula burn la maisha Malaya wa kisiasa wewe
 
Kuna sehemu maalumu za kupigia kampeni na sio mashuleni, sehemu ya kazi.Ikumbukwe kutoa nafasi kwa mgombea kuongea na wanafunzi wakati wa vipindi sio sahihi. Wakuu wa shule walikosea kuruhusu iwe kwa CCM au CHADEMA.
Labda ilikuwa week end,au after vipindi,sheria ikoje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…