Tetesi: Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga inasemekana amejiuzulu

Mkamanga junior

Senior Member
Joined
Jul 27, 2018
Posts
159
Reaction score
225
Amechukua maamuzi magumu,kwani tangu wateuliwe tarehe 18 Julai 2016 hakuna aliyewahi kujiuzulu nafasi yake zaidi ya rais kuwatumbua. Kwa muda mrefu halmashauri ya wilaya ya mbinga ilikuwa na migogoro ya watumishi, sasa kama ni kweli inawezekana hiyo ikawa ndio sababu
 
Last edited by a moderator:
Jaza kidogo nyama, taarifa bado haijakamilika
 
Labda kashindwa kwenda na kasi ya bwana mkubwa

Ova
 
Mungu amemfunulia Maono
 
Heri Yaishe
Kuliko Shari Kamili Bora Hiyo 😳😳😳
 
sababu kuu ya kujiuzuru nn mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…