Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Matatizo ya lugha mama, hususani wahaya wanatatizo hilo sana. Nina rafiki zangu wahaya wanitumiapo SMS lazima utakuta hiyo michapio.Ha ha haaaaa, vijana wa siku hizi sijui shida nini aiseee? Yaani hawawezi kuandika Kiswahili kabisa! Eti "Hameshindwa?" Nilitegemea na hapo kwenye imekaribia angeandika "Himekaribia"
Na kweli ni ajabu katika maajabu kujiuzuruNi ajabu kwa sababu anakuwa wa kwanza kujiuzuru nafasi ya ukurugenzi tangu mh. Raisi awateue. Wengi anawatumbua si kujiuzuru.hivyo ni jambo la ajabu
dogo acha kiherehere fanya kaziHa ha haaaaa, vijana wa siku hizi sijui shida nini aiseee? Yaani hawawezi kuandika Kiswahili kabisa! Eti "Hameshindwa?" Nilitegemea na hapo kwenye imekaribia angeandika "Himekaribia"
Mkuu kiswahili kigumu sana. Ebu soma sentensi hapa chini inayoelekeza namna ya kutumia printer na ifafanue kwa lugha rahisi ya kiswahili.Ha ha haaaaa, vijana wa siku hizi sijui shida nini aiseee? Yaani hawawezi kuandika Kiswahili kabisa! Eti "Hameshindwa?" Nilitegemea na hapo kwenye imekaribia angeandika "Himekaribia"
Hajajiuzulu kla amejidhuruAmechukua maamuzi magumu,kwani tangu wateuliwe tarehe 18 Julai 2016 hakuna aliyewahi kujiuzulu nafasi yake zaidi ya rais kuwatumbua. Kwa muda mrefu halmashauri ya wilaya ya mbinga ilikuwa na migogoro ya watumishi, sasa kama ni kweli inawezekana hiyo ikawa ndio sababu
Alikua mkurugenzi WA halmashauri IPI?Mkuu was magereza je hakuacha kazi siku zilizopita ?
Mbinga vijijiniAlikua mkurugenzi WA halmashauri IPI?
Uzao wa shule za kata mkuu jumlisha na Walimu wa Voda fasta ni shida mnooHa ha haaaaa, vijana wa siku hizi sijui shida nini aiseee? Yaani hawawezi kuandika Kiswahili kabisa! Eti "Hameshindwa?" Nilitegemea na hapo kwenye imekaribia angeandika "Himekaribia"