peno hasegawa JF-Expert Member Joined Feb 24, 2016 Posts 14,255 Reaction score 23,949 May 8, 2023 #1 Nikuulize swali Profesa, Umesema Tanzania inaagiza tani 68.7 Za nyama ya Kitimoto kwa mwaka. Hiyo kitimoto mnaagiza kutoka nchi gani? Je, Zanzibar na Pemba ni Sehemu ya Tanzania, walipokea tani ngapi za hiyo nyama ya Kitimoto?
Nikuulize swali Profesa, Umesema Tanzania inaagiza tani 68.7 Za nyama ya Kitimoto kwa mwaka. Hiyo kitimoto mnaagiza kutoka nchi gani? Je, Zanzibar na Pemba ni Sehemu ya Tanzania, walipokea tani ngapi za hiyo nyama ya Kitimoto?