Mkurugenzi wa INEC, Ramadhani Kailima aongoza kikao cha kupanga ratiba za kampeni za vyama

DogoWaNjombe

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
3,284
Reaction score
7,708
WhatsApp Image 2025-08-25 at 21.23.09_bedf7a40.jpg

Mkurugenzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Ndugu Ramadhani Kailima, akizungumza na Viongozi wa Vyama 18 vya Siasa vitakavyoshiriki Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025, kuhusu kupanga ratiba za kampeni zinazotarajiwa kufanyika nchi nzima kuanzia Agosti 28, 2025 hadi Oktoba 28, 2025.
Kikao hicho kimefanyika leo, tarehe 25 Agosti 2025, katika Ofisi za Tume zilizopo Njedengwa, jijini Dodoma.
WhatsApp Image 2025-08-25 at 21.23.09_c6e6ea82.jpg
 
Attachments

  • WhatsApp Image 2025-08-25 at 21.36.18_1354a0ea.jpg
    WhatsApp Image 2025-08-25 at 21.36.18_1354a0ea.jpg
    121.9 KB · Views: 38
View attachment 3453099
Mkurugenzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Ndugu Ramadhani Kailima, akizungumza na Viongozi wa Vyama 18 vya Siasa vitakavyoshiriki Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025, kuhusu kupanga ratiba za kampeni zinazotarajiwa kufanyika nchi nzima kuanzia Agosti 28, 2025 hadi Oktoba 28, 2025.
Kikao hicho kimefanyika leo, tarehe 25 Agosti 2025, katika Ofisi za Tume zilizopo Njedengwa, jijini Dodoma.
View attachment 3453101
anasuburi firing squad when the time will be ripe
 
View attachment 3453099
Mkurugenzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Ndugu Ramadhani Kailima, akizungumza na Viongozi wa Vyama 18 vya Siasa vitakavyoshiriki Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025, kuhusu kupanga ratiba za kampeni zinazotarajiwa kufanyika nchi nzima kuanzia Agosti 28, 2025 hadi Oktoba 28, 2025.
Kikao hicho kimefanyika leo, tarehe 25 Agosti 2025, katika Ofisi za Tume zilizopo Njedengwa, jijini Dodoma.
View attachment 3453101

Ni swala la muda tu Samia na serikali yake wataifutia Chadema usajili wabaki na vikaragosi vyao.
 
Tume iko nyumaya wakati kwa miezi kadhaa kwani sisiem kilianza kampeni siku nyingi sana.

Mabango yenye picha ya mgombea wao wa urais kwanza yalianza since 2021 kwenye kichaka cha The Royal Tour.
Msajili wala haoni wala kuikemea kampeni za kabla ya wakati zinazoitwa Samia Connect zinazoendeshwa nchi nzima kabla filumbi haijapulizwa ingawa anagombea yeye against yeye.
 
Back
Top Bottom