Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inshaallah usiwe na hofu. Jumatatu nitaleta mrejesho. Maana si mtumishi mmoja tu ni wengi tu. Sems watumishi wengi hasa walimu ni waoga sana kuekeza matatizo yao wao wanaona kama wanapewa tu kwa huruma hawajui ni haki yao tena ya laxima sana tena itoke kwa wakati muafaka.Jumatatu Kama Hujalipwa Lete Mrejesho Kwenye Hii Thread Yako
Sheria Ifuatwe Mkurugenzi Ni Mtumishi Kama WengineInshaallah usiwe na hofu. Jumatatu nitaleta mrejesho. Maana si mtumishi mmoja tu ni wengi tu. Sems watumishi wengi hasa walimu ni waoga sana kuekeza matatizo yao wao wanaona kama wanapewa tu kwa huruma hawajui ni haki yao tena ya laxima sana tena itoke kwa wakati muafaka.