TANZIA Mkurugenzi wa Kampuni ya Mabasi ya Sauli, Solomoni Mwalabhila afariki dunia

TANZIA Mkurugenzi wa Kampuni ya Mabasi ya Sauli, Solomoni Mwalabhila afariki dunia

Tuendelee kuomboleza tajiri wetu jamani
Nimeumia sana
40yrs bado mdogo sana mwee
Tajiri ni tajiri kafia ndani ya Jeep
Tajiri wa kwanza kuleta bus za bei
Kaiheshimisha sana Green city
Alale anapostahili 🙏
 
Tajiri anakufa kwenye gari la kitajiri 😢
Angejua angepanda ndege Dah

Mwee Sauli
Alifanya Mbeya iwe exceptional na gari za bei mbaya
Chuma kinatema moto saa 10 jioni mpo Uyole🔥🔥
Chakula mchana mnakula Mbeya
Tajiri ni tajiri kafia ndani ya Jeep
Tajiri wa kwanza kuleta bus za bei
Kaiheshimisha sana Green city
Alale anapostahili 🙏
 
Attachments

  • 1723109637591.jpg
    1723109637591.jpg
    385.8 KB · Views: 7
Tajiri anakufa kwenye gari la kitajiri 😢
Angejua angepanda ndege Dah

Mwee Sauli
Alifanya Mbeya iwe exceptional na gari za bei mbaya
Chuma kinatema moto saa 10 jioni mpo Uyole🔥🔥
Chakula mchana mnakula Mbeya
Matajiri safari za ndani hawapendi kupanda mwewe wakati ndinga kali anayo kwann asienjoy uumbaji wa Mungu.!!

Hizo scannia New force alipiga salute na Yutong zake.!!
Sauli igweeeeeeeeeee 🥹🥹
 
Ila kweli Nkamu
Mimi nikija nunua hata kapasso tu,ntakuwa nazurula nako hadi Daslama 😂 💔

Sema mimi private car naziogopa sana kwa safari ndefu..
Angalau hizi bus madereva wengi ni wazoefu wa Barabara na pia wanastahimili masafa marefu.

Mwee Sauli
Ndagha Bhabha ubhukile
Ubhapony,e

Tulikuwa tunakunywa chai DSM
Lunch ya matoki Mbeya

Jamani Sauli tunakulilia wanazi wa masifa ya mbio😂😂😂😂
Matajiri safari za ndani hawapendi kupanda mwewe wakati ndinga kali anayo kwann asienjoy uumbaji wa Mungu.!!

Hizo scannia New force alipiga salute na Yutong zake.!!
Sauli igweeeeeeeeeee 🥹🥹
 
Attachments

  • 1723110808047.jpg
    1723110808047.jpg
    390 KB · Views: 7
Ila kweli Nkamu
Mimi nikija nunua hata kapasso tu,ntakuwa nazurula nako hadi Daslama 😂 💔

Sema mimi private car naziogopa sana kwa safari ndefu..
Angalau hizi bus madereva wengi ni wazoefu wa Barabara na pia wanastahimili masafa marefu.

Mwee Sauli
Ndagha Bhabha ubhukile
Ubhapony,e

Tulikuwa tunakunywa chai DSM
Lunch ya matoki Mbeya

Jamani Sauli tunakulilia wanazi wa masifa ya mbio😂😂😂😂
Hivi Kamanda bado ni moja ya madereva wake aliowaacha..?
 
Tumepokea taarifa ya ajali ya gari ndogo ambapo mmiliki wa Mabasi ya kampuni ya Sauli Luxury Solomoni Mwalabhila amefariki dunia kwenye ajali hiyo. Tunatoa pole sana kwa Kampuni ya Sauli Luxury.

Ajari ya barabarani imeondoka na roho ya mmiliki wa mabasi ya Sauli Luxury siyo mbali sana na ilipopata ajari basi yake mapema mwaka huu Kibaha na kuwaka moto na yeye pia mmiliki ajari imemwondoa maeneo ya Mlandizi leo hii asubuhi akiwa na gari binafsi

Atakumbukwa kwa kuleta upinzani wa huduma na kufikisha abiria kwa haraka kampuni zake kwa wasafri wa nyanda za juu kusini.

Hasa kwa sisi wanazi wa Scania tutamkumbuka sana mwamba kwa kuziheshimisha Scania road.

Rest in peace Mwilabila Sauli

======

Mmiliki wa mabasi ya Sauli, Solomon Sauli Mwalabila amefariki dunia katika ajali ya gari iliyotokea eneo la Miwaleni, Mlandizi mkoani Pwani majira ya saa kumi na mbili na nusu alfajiri.

Mwandishi wetu wa Pwani ameeleza kuwa ajali hiyo ilihusisha magari mawili yaliyokuwa katika sehemu moja gari namba T213 DQD aina ya Fuso.

Imeelezwa kuwa gari hilo lilipata hitilafu ya kiufundi na kuligonga gari aina ya Jeep lenye namba za usajili T466EGW alilokuwemo mmiliki wa Sauli ambapo liligonga gari jingine aina ya Howo la kubebea kokoto.

Marehemu Sauli mkazi wa Mbeya alikuwa na mtoto wake mwenye umri wa miaka minne ambaye alipata michubuko na alipelekwa hospitali kabla ya kuruhusiwa.
Mwili wa marehemu umehifadhiwa kwenye chumba cha maiti kituo cha afya Mlandizi.

Sauli alikuwa mmiliki mabasi ya Sauli yaliyowahi kufanya safari za Dar Es Salaam - Mbeya.

Kamanda wa Polisi Mkoa Pwani Pius Lutumo amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo.

Azam TV

Pia, soma=> Wasifu wa Solomon Sauli Mwalabhila

@usheman another classmate... sorry bro.
 
Sijui
Ninachojua gari zake hazikuwepo tena barabarani
Kama zilikuwepo ni kwa nadra sana,trip Moja kokoto,trip 10 gereji
Japo trip hiyohiyo moja bado jamaa alikuwa anaijaza.
Jamaa gari zake zilikuwa zinapendwa sana hata na raia tu wa zile bara bara gari zake zilikuwa zinapita. Mwaka 2022 nilipanda gari zake njiani niliona wanawake kwa wanaume wakiishangilia gari ikiwa inapita tena wengine walikuwa wanaacha shughuli zao wanatoka speed kusogea uelekeo wa bara barani.

Na tulipo fika Mbeya Boss wao(Marehemu) akasogea karibu na gari nikaona raia wengi wamesogea karibu pia na hilo gari tulilopanda akaanza kugawa hela kwa baadhi ya wadau pale.

Hakika wana Mbeya watamkumbuka Ndugu Marehemu Selemani.
 
Hadi sasa wakiamua kuiendeleza kampuni wanaweza maana bado watu wanaipenda sana Sauli
 
Wajuzi hii imekaaje mtoto kafa na mama mzazi anachangiwa hela za matibabu
Ina maana hela ziligoma kumpeleka hospital alipokuwa hai
Sijui ninawaza nini
Screenshot_20240808_114635_Instagram~2.png
 
Kutokana na huu msiba watu watakuwa wameamua kumchangia tu mama wa marehemu kwenye matibabu
Kwani ugonjwa umeibuka ghafla baada ya kifo? Au alikuwa anaumwa mda
Hilo la kujitolea mmh au kwa kuwa tajiri huongezewa kama maneno ya waswahili?

Maybe just maybe 🤔
 
Sidhani kama alikuwa anaumwa akawa hapewi matunzo
Ni kweli siamini pia ila kwanini sasa
Sijawahi kusikia mama wa marehemu anachangiwa kwenye misiba maana watu huzika na kuondoka
Lakini dunia hii mengi yanatokea ndio maana nikahoji
Mungu ampe afya njema na quick recovery
 
Back
Top Bottom