Mkurugenzi wa "Kima Cha Chini Cha Mishahara". Ni cheo cha hovyo kabisa kuwahi kukisikia

G4N

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2014
Posts
4,449
Reaction score
10,310
Wakati PM akitambua uwepo wa viongozi mbalimbali waliohudhuria kwenye sherehe za Mei Mosi ametambua uwepo wa "mkurugenzi wa Kima Cha Chini Cha Mishahara".

Nchi Ina vyeo vya hovyo hii! Yaani huyu mtu ni mkurugenzi wa kusimamia na kudhibiti mishahara ya Kima cha chini tu? Kima Cha juu yeye hataki!.
 
Mafisiemu ni hovyo!
 
Back
Top Bottom