Mafisiemu ni hovyo!Wakati PM akitambua uwepo wa viongozi mbalimbali waliohudhuria kwenye sherehe za Mei Mosi ametambua uwepo wa "mkurugenzi wa Kima Cha Chini Cha Mishahara".
Nchi Ina vyeo vya hovyo hii! Yaani huyu mtu ni mkurugenzi wa kusimamia na kudhibiti mishahara ya Kima cha chini tu? Kima Cha juu yeye hataki!.
Yaani inashangaza sanaπππππ sa kikiwepo kima cha juu yeye si atakosa kazi
CCM wasivyo na aibu watamleta hata mkurugenzi wa dhiki na shida.Tunapo elekea tutakuja kuletewa hadi mkurugenzi wa maaikini/fukara...π€£
ππππsasa kaz ya huyo mkurugenzi ni nn?Tunapo elekea tutakuja kuletewa hadi mkurugenzi wa maaikini/fukara...π€£