Mkurugenzi wa Manispaa Afanya Ziara ya Kushtukiza Kukagua Vituo Visivyo Rasmi vya Daladala na Uwekaji Holela wa Magari

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Mkurugenzi wa baraza la manispaa mjini Bi Hasna Attai Massoud Leo mapema amefanya ziara ya kushtukiza ya ukaguzi wa vituo vya dala dala visivyo rasmi ambavyo vilivyo pigwa maraufuku ndani ya manispaa ya mjini pamoja na uwekaji mbaya wa magari.

Katika ziara hiyo Bi Hasna amesema kuwa hali inarizisha ingawa kuna changamoto ndogondogo ambazo zinakutokana na ujenzi wa bara bara unao endelea ambapo ameahidi kukaa pamoja na maafisa wa mamlaka ya mawasiliano pamoja na vyombo vya ulinzi na usalama kuona wanafanya nini kuepuka changamoto hiyo wakati wa Mchana na jioni.

Ni mkurugenzi wa manispaa Gani? Iko mkoa Gani?
 
Back
Top Bottom