Uchaguzi 2020Mkurugenzi wa mashtaka nchini Tanzania (DPP): Yeyote mwenye lengo la kuvuruga amani ya nchi atashughulika bila kujali dini, jinsia wala cheo chake
Lazima Chadema ifanye kazi haraka sana kuhakiki vituo HEWA vyote nchi nzima ni vingapi kati ya vile 80,000 viliyotolewa na tume nchi nzima. hili zoezi ni la dharura na haraka mno.
Mkurugenzi wa mashtaka nchini Tanzania (DPP), Biswalo Mganga amesema yeyote mwenye lengo la kuvuruga amani ya nchi atashughulika bila kujali dini, jinsia wala cheo chake...
Awakemee wale watakaoshindwa kutenda haki. Tume imeshindwa kutenda haki. Kwa nini viongozi wa vyombo vya usalama na sheria hawalioni hili? Hakuna haki, hakuna amani.
Wakati wao wanawashughulikia huku watu walionyimwa Haki zao ,Na wao"The Hague"itakuwa inawashughulikia.Dunia yote macho yao na masikio yapo kwenye Huu uchaguzi!