"Usalama wa chakula kwa kuanza tunaanza kufuatilia uzalishaji wa chakula ili kujua ukoje katika maeneo mbalimbali ya nchi. Tunapozungumzia usalama wa chakula huwa na mihimili Minne
"Kwanza upatikanaji, je chakula kipo? Pili uwezo mfano mkoa wa Dar es Salaam hauna tatizo la usalama wa chakula lakini hawalimi kwa sababu watu wana uwezo wa kukipata kile chakula kutokana na kipato walichonacho
"Pia tunaangalia ikitokea dharura kama majanga mbalimbali Hifadhi ikoje? Kwa hiyo tuna Wakala wa Hifadhi ya chakula kwa ajili ya kushughulikia inapotokea shida ya chakula maeneo mbalimbali"- Gungu Mibavu, Mkurugenzi wa Masoko na Usalama wa Chakula katika Wizara ya Kilimo
Chanzo: Clouds Tv