Mkurugenzi wa NEC amejiandikisha, je unadhani atachagua viongozi wa chama gani?

Uzuri wa upigaji kura Tanzania ni WA Siri sana , unaweza kuwa ni mgombea na ukaongozona na mumeo au mkeo kupiga kura na akampigia mpinzani wako
 
Uandikishaji wa uchaguzi wa serikali za mitaa umeshawaonyesha taa nyekundu baada ya watu kutokwenda kujiandikisha sasa wanapita nyumba Kwa nyumba Ili wajaze madaftari yao. Ndo maana picha ni nyingi mitandaoni
 
Bc lalamika na rais kujiandikisha kwamba atachagua viongozi wa chama gani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…