Si mara ya kwanza huwa wanavunja sheria zao wenyewe. Ni uonevu na double standardsNa kwa nini asipatiwe dhamana na wakati ni haki yake? Polisi, hili suala la taasisi yenu kutumika kama tawi la chama tawala mtaendelea nalo mpaka lini?
Jeshi la polisi lina ignore sheria na utaratibu wake, nalo linasubiri "maelekezo toka juu"Wakili Gaston Shundo Garubindi Mkurugenzi wa Sheria na Haki za Binadamu:
"Baada ya kukamilisha mahojiano kuhusu kosa la Kusambaza taarifa za uongo, Jeshi la Polisi wakasema wanakamilisha utaratibu wao lakini tumesubiri mpaka sasa usiku, mteja wetu hawajampatia dhamana"