TANZIA Mkurugenzi wa Shirika la Maendeleo la Taifa (NDC), Profesa Damian Gabagambi afariki dunia

TANZIA Mkurugenzi wa Shirika la Maendeleo la Taifa (NDC), Profesa Damian Gabagambi afariki dunia

Mocumentary

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2017
Posts
806
Reaction score
2,049
MKURUGENZI wa Shirika la
Maendeleo la Taifa (NDC), Profesa
Damian Gabagambi amefariki dunia hospitali ya Taifa ya Muhimbili leo.

Awali kabla ya kuteuliwa kuwa Mkurugenzi wa NDC alikua Muadhiri,Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine(SUA).

Msiba upo nyumbani kwake Masaki

Damian.jpg
 
Alikua chama gani?
May be RIP nonetheless
 
Pole kwa ndugu jamaa na marafiki ma Mungu awape nguvu ktk kipindi hiki kigumu.
 
Ila kama kuna mwaka ma prof wa SUA wamepukutika ni 2020.

Wasipoajiri na kupandisha status za wanazuoni kile chuo kitabakiza maDokta na tutorial assistants.

R.I.P Prof Gagambi

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Back
Top Bottom