TANZIA Mkurugenzi wa Shirika la Maendeleo la Taifa (NDC), Profesa Damian Gabagambi afariki dunia

TANZIA Mkurugenzi wa Shirika la Maendeleo la Taifa (NDC), Profesa Damian Gabagambi afariki dunia

Kilaza, kilaza, kilaza... wala hana aibu kabisa. Yaani hawa vilaza ndio tunapoteza muda kubishana nao hapa. Hilo tangazo hapo linaeleza vizuri sana NDC ni nini. Lakini ukiwa mjinga kupindukia bado tu hautaelewa. Huyu siyo ajabu hata kwenye karatasi ya kura akaweka tiki kwa Lissu akifikiri ni Magufuli.
Yaani wewe kijana wa magufuli hujui NDC inashunghulika na nn daaa magufuli ana hasara sana kumbe mnaomzunguka ni vilaza kiasi hiki
 
Mtu ambaye amesoma Muhimbili naye anatakiwa kujua AEA ni nini? Asipojua basi hakupita chuo?
It should be Agricultural Economics and Agribusiness.
Yaani wewe unajifanya umepitia chuo kumbe hata long form ya course abbreviation hujui......halafu mnasema Magufuli hatoi ajira. Atoe ajira kwa pimbi?
 
Ila kama kuna mwaka ma prof wa SUA wamepukutika ni 2020.

Wasipoajiri na kupandisha status za wanazuoni kile chuo kitabakiza maDokta na tutorial assistants.

R.I.P Prof Gagambi

Everyday is Saturday............................... 😎

SUA wanasomeaga nini kwani? Kwenda kwenye Mars na Jupiter?
 
Back
Top Bottom