TANZIA Mkurugenzi wa Shirika la Maendeleo la Taifa (NDC), Profesa Damian Gabagambi afariki dunia

TANZIA Mkurugenzi wa Shirika la Maendeleo la Taifa (NDC), Profesa Damian Gabagambi afariki dunia

Haya maisha hakuna mwenye hisani nayo.
Nakumbuka kipindi cha 2014/2016 kuna jamaa yangu mmoja huyo alikuwa akifanya masters degree SUA.

Alikuwa akilalamika kuwa yupo prof mmoja aliitwa Gabagambi aliyemnyanyasa sana. Alitamani apigwe walau na radi mradi jamaa atulie.

Leo hii Prof kasepa na naamini jamaa yangu alimsamehe kabla hajaondoka.


RIP Prof.
 
Chuma kimelala, Mwalimu wangu huyu tangu akiwa PhD holder, very candid and principled man has gone, basi bwana, May his good soul rest in eternal peace!
 
Siku zote magonjwa yanayo waua wakubwa na matajiri Ni siri kubwa na nzito. Ukidodosa saana wstakuambia kwa kiingereza kigumu. Ili kukutoa kwenye reli unaweza kuambiwa kafa kwa massivestressoariasis
Hahaha. Ukiambiwa hivyo, jua ngoma hiyooo.
 
Back
Top Bottom