TANZIA Mkurugenzi wa Shirika la Maendeleo la Taifa (NDC), Profesa Damian Gabagambi afariki dunia

TANZIA Mkurugenzi wa Shirika la Maendeleo la Taifa (NDC), Profesa Damian Gabagambi afariki dunia

Ila kama kuna mwaka ma prof wa SUA wamepukutika ni 2020.

Wasipoajiri na kupandisha status za wanazuoni kile chuo kitabakiza maDokta na tutorial assistants.

R.I.P Prof Gagambi

Everyday is Saturday............................... 😎
Uko sahihi.
 
Niliwahi Pata bahati ya kumsikiliza ITV ...the guy was smart..
RIP Prof
Very smart! Nilikua nikisoma sana makala zake enzi hizo zikichapishwa kwenye gazeti la RAI likiwa linamilikiwa na kina Jenerali Ulimwengu.

Alikua akichambua kuhusu matatizo na changamoto ya kilimo chetu, mipango ya kukikiendeleza na kutoa ushauri kwa watu na taasisi husika. Utapenda akielezea mambo ya micro economics
 
Mkuu hujaona hapo shirika la maendeleo la Taifa.
Mkuu, mdau anataka kujua shirika linahusika na nini! Yeye amesoma kuwa kweli ni shirika la maendeleo lakini hajui linahusika na nini. Nadhani alitaka kujua kazi za hilo shirika na sio location kama ulivyomjibu.
 
Dash mbona tafsiri yake inajieleza mkuu,

Mtu akisema shirika la maendeleo anamaanisha nini?
 
Yaani CCM imejaza majitu majinga majinga tu! Ona hili nalo linaulizwa NDC inahusika na nini lenyewe linatoa location! Mtaji wa CCM ni ujinga!!
Viazi huko upinzani mko wengi, mtu akisema shirika la maendeleo kuna haja ya kufafanua zaidi kuwa hilo shirika linahusika na nini??
 
Haya maisha hakuna mwenye hisani nayo.
Nakumbuka kipindi cha 2014/2016 kuna jamaa yangu mmoja huyo alikuwa akifanya masters degree SUA.

Alikuwa akilalamika kuwa yupo prof mmoja aliitwa Gabagambi aliyemnyanyasa sana. Alitamani apigwe walau na radi mradi jamaa atulie.

Leo hii Prof kasepa na naamini jamaa yangu alimsamehe kabla hajaondoka.

RIP Prof.
Una uhakika huyo 'jamaa yako' ana ubongo kichwani?[emoji41]
 
Hilo shirika linahusu nini
Yaani wewe kijana wa magufuli hujui NDC inashunghulika na nn daaa magufuli ana hasara sana kumbe mnaomzunguka ni vilaza kiasi hiki
Nimeshangaa sana. Kumbe hawa ni kasuku tu hawaelewi hata kwa nini wanashamgilia ccm. Halafu ukute huyu ni uvccm na keshokutwa amakuwa DC. Hii nchi ina hasara sana wallah
 
Nimeshangaa sana. Kumbe hawa ni kasuku tu hawaelewi hata kwa nini wanashamgilia ccm. Halafu ukute huyu ni uvccm na keshokutwa amakuwa DC. Hii nchi ina hasara sana wallah
Eleza shirika linahusika na nn? Nina uhakika asilimia kubwa hamjui hilo Shirika linaendeleza nn hasa. Mmekakaa tu kama kasuku, mnaojificha kwenye kuwahi kukosoa hata hamjaelewa swali.
 
Back
Top Bottom