TANZIA Mkurugenzi wa Shirika la Maendeleo la Taifa (NDC), Profesa Damian Gabagambi afariki dunia

Viazi huko upinzani mko wengi, mtu akisema shirika la maendeleo kuna haja ya kufafanua zaidi kuwa hilo shirika linahusika na nini??
Huna akili we kubali.hujui kazi za NDC .ukakimbilia kwenye location
 
Asante kwa maendeleo. wee nenda tu maendeleo yanaendelea. Pole kwa familia 🙏🏽
Sijawahi hata kumsikia huyu kiumbe 😜
 
It should be Agricultural Economics and Agribusiness.
Yaani wewe unajifanya umepitia chuo kumbe hata long form ya course abbreviation hujui......halafu mnasema Magufuli hatoi ajira. Atoe ajira kwa pimbi?
Umesema kweli Mkuu. Vyeti vizuri sana. Njoo interview, rubbish!!!!
 
Hata basic manners kwenye chumba Cha interview mtu Hana.
Utawasikia walisema "sasa hivi nasoma master" I have said this before and I will say it again. ' I hate half baked graduates'
 
It should be Agricultural Economics and Agribusiness.
Yaani wewe unajifanya umepitia chuo kumbe hata long form ya course abbreviation hujui......halafu mnasema Magufuli hatoi ajira. Atoe ajira kwa pimbi?
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
aiseeee huu ni mfano halisi wa wengi wa wanachama mboga mboga kua ni watupu vichwani mwao angalia hawa watu

Jane lowasa
barbarosa
magonjwa mtambuka
jingalao
lizabon et al
Huwa shida ni nini? Au ni kujipendekeza kuliko pitiziliza?
 
I think it was a matter of answering my question rather than speaking a lot of things here because it does not help anyone. I thought you're smart but now I know you're not.
ona hapa eti kame jibu kwa kimalkia tujue kame enda shule kumbe si ajabu ulikua mfua vyupi vya watasha tu masaki uko
 
aiseeee huu ni mfano halisi wa wengi wa wanachama mboga mboga kua ni watupu vichwani mwao angalia hawa watu

Jane lowasa
barbarosa
magonjwa mtambuka
jingalao
lizabon et al
Jane Lowasa Yuko kwenye kundi la kipekee. Kumuweka pamoja na Barbarosa kwenye kundi moja utakua unamvunjia heshima Barbarosa
 
It should be Agricultural Economics and Agribusiness.
Yaani wewe unajifanya umepitia chuo kumbe hata long form ya course abbreviation hujui......halafu mnasema Magufuli hatoi ajira. Atoe ajira kwa pimbi?
🤣🤣jamanii
 
Yaani tofauti ya hiyo A kubwa na ndogo ndio unatoa maneno makali kiasi hicho? Mbona yeye ameomba hadi samahani................... Wewe ndio masalia ya CCM yatakayoondolewa 28.10.2020 huyo unaemtaja hatoi ajira hata kutamka Entrepreneur hawezi na huu mkijinasibu ana PHD.
 
Viazi huko upinzani mko wengi, mtu akisema shirika la maendeleo kuna haja ya kufafanua zaidi kuwa hilo shirika linahusika na nini??
Ndicho alichokuwa anauliza mwenzio kenge wewe! CCM kumejaa majitu majinga majinga!
 
I like you your so polity keep it up................ Umeonyesha usomi wa hali ya juu.
Kama hujui kiingereza andika lugha unayojua. "I like your so polity keep it up" sio kiingereza. Ungesema. ' I like your politeness, keep it up' umeona hiyo comma nilipoiweka?
 
Yaani tofauti ya hiyo A kubwa na ndogo ndio unatoa maneno makali kiasi hicho? Mbona yeye ameomba hadi samahani................... Wewe ndio masalia ya CCM yatakayoondolewa 28.10.2020 huyo unaemtaja hatoi ajira hata kutamka Entrepreneur hawezi na huu mkijinasibu ana PHD.
I am not in the mood to argue with people who can not read and understand a phrase.
 
Back
Top Bottom