Myahudi Jr II
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 6,816
- 8,809
Niliwahi Pata bahati ya kumsikiliza ITV ...the guy was smart..
RIP Prof
Unaijua V_eitee wewe,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Niliwahi Pata bahati ya kumsikiliza ITV ...the guy was smart..
RIP Prof
Mungu amuweke pahala alipopanga na sikama sisi ytusemavyo eti weka pahala pema peponi.MKURUGENZI wa Shirika la
Maendeleo la Taifa (NDC), Profesa
Damian Gabagambi amefariki dunia hospitali ya Taifa ya Muhimbili leo.
Awali kabla ya kuteuliwa kuwa Mkurugenzi wa NDC alikua Muadhiri,Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine(SUA).
Msiba upo nyumbani kwake Masaki
kwanini unaiita KIJICOURSE...au uankipuuza mpwa?Hakuna course inaitwa hivyo mpwa. Ila Kuna kijicourse kinaitwa
Agricultural Economics and Agribusiness
Hapa SUA Kuna course na viji course.kwanini unaiita KIJICOURSE...au uankipuuza mpwa?
hahahaha daaaaah..wenzio wanapiga econometrics ni ungumu..wewe una wapuuza..Daaah...ila ndio hao hao wachumi wa kilimo.Hapa SUA Kuna course na viji course.
Hicho ni kiji course
maana hao wataurithi ufalme wa mbinguni.Heri wafu wafao katika BWANA
Ufunuo wa Yohana 14:13 Nikasikia sauti kutoka mbinguni ikisema, Andika, Heri wafu wafao katika Bwana tangu sasa. Naam, asema Roho, wapate kupumzika baada ya taabu zao; kwa kuwa matendo yao yafuatana nao.maana hao wataurithi ufalme wa mbinguni.
Ufunuo wa Yohana 14:13 Nikasikia sauti kutoka mbinguni ikisema, Andika, Heri wafu wafao katika Bwana tangu sasa. Naam, asema Roho, wapate kupumzika baada ya taabu zao; kwa kuwa matendo yao yafuatana nao.maana hao wataurithi ufalme wa mbinguni.
Hapa ndiyo unaposhangaza Jane Lowassa yaani unashadidia CCM,halafu huijui NDC?Hilo shirika linahusu nini
My foot. Wachumi wa kilimo gani hao wakati Bei ya mazao inapangwa na madalali pale Kariakoo na Tandale?hahahaha daaaaah..wenzio wanapiga econometrics ni ungumu..wewe una wapuuza..Daaah...ila ndio hao hao wachumi wa kilimo.
Hilo shirika linahusu nini
Yaani mwanamke wa aina hii kwenye ndoa analeta mayai yake tu! Huo ndio mchango wake tu. Wanaume wengine wana bahati mbaya sana duniani.
PanyaSUA wanasomeaga nini kwani? Kwenda kwenye Mars na Jupiter?
Kawa, mtenga, nko, kimambo, mama Muze, mnembuka, mtayoba😰😰😰😰😰😰😰😰😰😰😰😰😰😰😰😰The late Ashimogo, Suma Mwaitulo, Gabagambi, Mafu, etc makes me cry
Sijui kwanini umeingiza story za corona kwa post hii, hebu tazama hii imageJiwe alituaminisha kuwa corona imeshindwa kwa jina la BWANA lakini sasa watu wameanza kuvunwa kwa kasi kubwa!!! TWAFA!!!!
Suma perished na vilivyo vyake aisee!!The late Ashimogo, Suma Mwaitulo, Gabagambi, Mafu, etc makes me cry
Sasa Mkurugenzi wa shirika, mtu aliyetokea community tunayoamini ina ma connection, angeweza hata kukopewa hiyo pesa ya matibabu, amekosa pesa ya matibabu, mimi nani nchi hii nitegemee kikadi cha CHIF tokea serikalini kinitibie??Sijui kwanini umeingiza story za corona kwa post hii, hebu tazama hii imageView attachment 1609487
Agricultural Economics au Agriculture Economics? Sidhani kama ulisoma hiyo courseAgriculture economics and agribusiness, SUA. Samahani kwa kudhani kila mtu angenielewa.