TANZIA Mkurugenzi wa Shirika la Maendeleo la Taifa (NDC), Profesa Damian Gabagambi afariki dunia

TANZIA Mkurugenzi wa Shirika la Maendeleo la Taifa (NDC), Profesa Damian Gabagambi afariki dunia

MKURUGENZI wa Shirika la
Maendeleo la Taifa (NDC), Profesa
Damian Gabagambi amefariki dunia hospitali ya Taifa ya Muhimbili leo.

Awali kabla ya kuteuliwa kuwa Mkurugenzi wa NDC alikua Muadhiri,Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine(SUA).

Msiba upo nyumbani kwake Masaki

Mungu amuweke pahala alipopanga na sikama sisi ytusemavyo eti weka pahala pema peponi.
 
hahahaha daaaaah..wenzio wanapiga econometrics ni ungumu..wewe una wapuuza..Daaah...ila ndio hao hao wachumi wa kilimo.
My foot. Wachumi wa kilimo gani hao wakati Bei ya mazao inapangwa na madalali pale Kariakoo na Tandale?
 
The late Ashimogo, Suma Mwaitulo, Gabagambi, Mafu, etc makes me cry
Kawa, mtenga, nko, kimambo, mama Muze, mnembuka, mtayoba😰😰😰😰😰😰😰😰😰😰😰😰😰😰😰😰
 
Jiwe alituaminisha kuwa corona imeshindwa kwa jina la BWANA lakini sasa watu wameanza kuvunwa kwa kasi kubwa!!! TWAFA!!!!
Sijui kwanini umeingiza story za corona kwa post hii, hebu tazama hii image
IMG-20201011-WA0071.jpg
 
Sijui kwanini umeingiza story za corona kwa post hii, hebu tazama hii imageView attachment 1609487
Sasa Mkurugenzi wa shirika, mtu aliyetokea community tunayoamini ina ma connection, angeweza hata kukopewa hiyo pesa ya matibabu, amekosa pesa ya matibabu, mimi nani nchi hii nitegemee kikadi cha CHIF tokea serikalini kinitibie??

Tutapukutika sana tu!

Everyday is Saturday...............................😎
 
Back
Top Bottom