Mkurugenzi wa Tarime mjini apata ajali Manyoni Singida

Nyendo

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2017
Posts
1,455
Reaction score
5,134
Taarifa ya ajali Manyoni, Singida.

Jamani hii ajali mbaya nimeishuhudia nipo kwenye Nyehunge ya Mwanza kuja Morogoro mjini duuhh mbaya sana imehusisha fuso moja hivi nayo tairi za mbele zote zimechomoka ndio chanzo cha ajali hii.

=====
Mkurugenzi wa Tarime Mjini amepata Ajali mbaya sana maeneo ya Manyoni, Dereva na Afisa Maendeleo ya Jamii wamefariki papo hapo, Mkurugenzi na Afisa Mipango wapo Hospitali kwa matibabu.

​

 
Mungu awafanyie wepesi waliopata majeraha na waliotangulia inshallah Mungu awarehemu, Amina..!!
 
Poleni.

Matiko na Heche!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…