Waliokuwa wamekaa nyuma ukute walikuwa hawajafunga mikanda! Haya makitu wakati mwingine huwa yanasaidia sana ingawa vilevile mara moja moja wanaweza kukunyonga. Kwa dereva na wa nyuma yake ilikuwa hakuna jinsiTaarifa ya ajali Manyoni, Singida.
Jamani hii ajali mbaya nimeishuhudia nipo kwenye Nyehunge ya Mwanza kuja Morogoro mjini duuhh mbaya sana imehusisha fuso moja hivi nayo tairi za mbele zote zimechomoka ndio chanzo cha ajali hii.
=====
Mkurugenzi wa Tarime Mjini amepata Ajali mbaya sana maeneo ya Manyoni, Dereva na Afisa Maendeleo ya Jamii wamefariki papo hapo, Mkurugenzi na Afisa Mipango wapo Hospitali kwa matibabu.
Kama hili gari liko hivyo, huyo D.E.D lazima ata DEADWaala hujasema uongo ndugu!
Halafu mko wa Singida unawanyooshaga sijui kwann
Huyo Dead bado tu
Wengi wamehamia DOM,kwahiyo SINGIDA na DOM karibu! Acha tu wanyooshwe ili akili ziwakae sawa!!
Aiseee huyo mkurugenzi anaonekana yupo good pia
Mara nyingi viongozi hukaa mbele kasalimikaje?
Hawa madereva wa serekali wanakimbia sana kwa kweli
Daaahhh ajali inaonekana mbaya sana.. Wapumzike kwa Amani walio fariki.
Jifunze kuwa na roho ya ubinadamu utafanikiwa mno
Mkuu unamjua mtoto wewe???Uko na ushahidi we mtoto!?
Andiko lako linaonyeaha , you are not a grown manNi sawa Mkuu ila ungekuwepo Tariime kipindi cha Uchaguzi usingeshauri hiki maana walijiona Dunia nzima ni yao hakuna mwingine
Mkuu unamjua mtoto wewe???