NomaaaaSana mkuu na kitu nilikua sijui hizi Hilux vigo ni balaa sana barabarani kuna video nilona jamaa kakanyaga speed 200/hr na vigo inampita kama kasimama...chek hiyo video
DaahKama hili gari liko hivyo, huyo D.E.D lazima ata DEAD
Malipo ni hapahapaHuyu Ded ndio alimbambika kesi matiko na vijana kuuwawa Tarime.
Hawa WEZI WA UCHAGUZI wameua watu wengi sana kwa uroho wa madaraka, acha tuendelee kulia sote tu. DED yeye anaendeleaje hadi sasa?Mkuu hata dereva aliyekufa ni Polisi mwenye professional ya udereva. Yaani genge lile la wizi wa kura lilipo ona hakuna namna ya kujilinda baada ya uchaguzi likaamua kutengeneza colable ya kudumu. Huyu dereva ni colable yake
Huyo dereva kasoma na mdogo wangu darasa mojaMkuu hata dereva aliyekufa ni Polisi mwenye professional ya udereva. Yaani genge lile la wizi wa kura lilipo ona hakuna namna ya kujilinda baada ya uchaguzi likaamua kutengeneza colable ya kudumu. Huyu dereva ni colable yake
Dan kweli ni noma, yani jamaa wa 200 kapitwa kama amesimama.Hiyo Hilux vigo ni hatari sana mkuu...chek video nimeweka hapo chini
WowwSana mkuu na kitu nilikua sijui hizi Hilux vigo ni balaa sana barabarani kuna video nilona jamaa kakanyaga speed 200/hr na vigo inampita kama kasimama...chek hiyo video
Daaah, jamaa kaliwa kama kasimama vile.Sana mkuu na kitu nilikua sijui hizi Hilux vigo ni balaa sana barabarani kuna video nilona jamaa kakanyaga speed 200/hr na vigo inampita kama kasimama...chek hiyo video
Naomba kumfaham jina, maana nmeskia nmesoma nae shule moja ya msingi lakini sijafankiwa kumfaham.Huyo dereva kasoma na mdogo wangu darasa moja